Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eti kijana wa kazi[emoji2]Wewe ni mjinga hata kudanganya hujui!
IQ yako ndogo sana! Mtu mliyesoma naye darasa moja obviously atakuwa age mate wako!
Sasa ulivyom-address na huyo rafiki yako alivyom- address kijana wake wa kazi kwako obviously hakuna uhalisia wowote! Hizi ni story za vil.aza kutungia vil.aza wenzao
Sawa kipangaWewe ni mjinga hata kudanganya hujui!
IQ yako ndogo sana! Mtu mliyesoma naye darasa moja obviously atakuwa age mate wako!
Sasa ulivyom-address na huyo rafiki yako alivyom- address kijana wake wa kazi kwako obviously hakuna uhalisia wowote! Hizi ni story za vil.aza kutungia vil.aza wenzao
Hahaha hahaha Vipanga wamecharukaWee fara mmoja sikia
Maisha ndo yako hivo
Acha atafte kesho atakaa pazuri.
Kikubwa Dua tu.
Elimu bado haina mbadala maishani.Kipanga wa darasa [emoji16]
Elimu n kitu kingine
Maisha Ni kitu kingine.
[emoji122][emoji122][emoji122]Ni maajabu
Aliefeligi shule,kapata hela by accident,ila alivyo na chuki tangu anapitwa zamani,chuki hazijaisha mpaka leo,kamkuta yule aliekuaga anampita anaanza kumcheka na kumdhihaki kuridhisha moyo wake wenye chuki ya milele ili kujifurahisha?
Ulipitwa,records ziko wazi,huwezi badili,ilishapita,you cant change the hands of time ukafute,huwezi...ilishapita na inajulikana alikupita
Sasa umepata pesa,ooh well,enjoy yourself while it lasts maana hakuna garantii huyu ambae hana kitu leo hawezi kua na kitu kesho....
Wewe kuna na vihel leo sio garantii utakua navyo pia kesho....usichekee sanaaa kuridhisha chuki zako kwa aliekupitaga zamani