AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
Wewe ni mjinga hata kudanganya hujui!
IQ yako ndogo sana! Mtu mliyesoma naye darasa moja obviously atakuwa age mate wako!
Sasa ulivyom-address na huyo rafiki yako alivyom- address kijana wake wa kazi kwako obviously hakuna uhalisia wowote! Hizi ni story za vil.aza kutungia vil.aza wenzao.
Mbona kuna wanaoitwa vilaza lakini bado wanasota? Asilimia kubwa wanapata kazi but ni huyo tu .......asi conclude kwa wote......jeuri sio nzuri kabisa km kweli basi alizingua.....Wewe ni mjinga hata kudanganya hujui!
IQ yako ndogo sana! Mtu mliyesoma naye darasa moja obviously atakuwa age mate wako!
Sasa ulivyom-address na huyo rafiki yako alivyom- address kijana wake wa kazi kwako obviously hakuna uhalisia wowote! Hizi ni story za vil.aza kutungia vil.aza wenzao.
All in all ulikuwa utoto ,mbona majeuri wengine wapo mbali tu....
Life halina formula unaweza kuta jamaa akapata kibarua kizito tu akapaaa ndan ya mwaka mmoja .......
Usicheke nyani kabla haujavuka mto