Ntanatz
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 214
- 415
Habari wakuu Wa JF, niende kwenye mada....
Katika vitu najivunia sana tangu nimeanza kuujua ulimwengu wa smartphone ni kuijua jamii forums..
Nimejiunga jamii forums ni kama miaka 5 nyuma huko sina hakika sana,
pitapita, hangaika na harakati za vijana kuhusu chupi kwenye umri wa miaka 17 kuendelea zinakuwa juu sana..
nikiwa kama kijana niliyepitia huko, nina kisanga ambacho natamani kila mtu ajue kuhusu huu ugoniwa wa genital warts namna unavyohangaisha na kuharibu saikolojia zetu(victims) aseeh..
nitapost na picha zangu kama ushahidi, i'm too brave to post my pics kwasabb kwangu naona ni kama ushindi mkubwa sana na bonge la comeback nimefanya katk kuipambania afya yangu ya andindo maliaswesa...
brother kama ujawahi umwa warts jipongeze na jikinge sana huu ugonjwa sio poa kabisa asehh
1.hauumizi
2.hauwashi
3.haunenepi
4.haujiamini
5.depression
6.haufurahii sex
7.haushiriki kabisaaa sex if u have big heart to protect others..
Kwa mara ya kwanza niliona tofauti ya kwenye shina la uume wangu nikiwa na miaka 17 back in 2017
Skustuka sana, nilichukulia kawaida,
2021 mwishoni nikapitia andiko twitter lilikuwa linaelezea ishu ya warts, wakat huo bado sjui km nina warts nikajipa tu muda kulisoma lile andiko daaaah pale ndo nikagundua kama nina huo ugonjwa hali ilikuwa kama hivi
tazama picha
nilikuwa na vidoti vitatu tu vya warts mwanzoni nikapotezeaaa
maisha yakasonga hadi 2023 hapo vile vidude aseeeh vilikuja kuwa vikubwa sana kiasi ambacho, nilikuwa stak kabsa mwanamke aone uume wangu na hata ule mda wa kujigi, skutaka kabisa ashike...
hali ilikuwa hivi tazama picha
Broh narudia tenaa kama hujawahii umwa huu ugonjwa acha tu ni noma sana
Hapo ndo nilipoanza kuona dunia na Mungu nimemkosea.. hiki kipindi nilikuw naomba kila dua aseehh....
Nitendeleaa maana uandishi kazi aseeh