USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

Nawaza siku aibuke mdada.atoe ushuhuda nae aambanishe na mapichapicha kama hivyo live...mbona hapatatosha..

Kwa hii jf nnayoijua😄
Patatosha tu mboni sio ajabu hivi kile kipindi tunaonyeshwa ngwengwe inavyotafuna maeneo nyeti kabla ya ARV kuja wewe ulikua huzioni zile picha zinabandikwa mpaka kwenye majalida na mbao za matangazo?
 
Pole utapona mzee,usione aibu utapata Tiba.

Vijana tulieni na mwenza mmoja,Uwe me au Ke,Umalaya ni ushamba.
Unaruka kwa kuvaa condoms ila unagusana nae mwili unabeba magonjwa ya ngozi yaan unajiuliza ngozi yangu inababuka nimepata wapi huu ugonjwa kumbe kuna li shanikupe yaan Shangazi limoja ulivaa condoms ila mligusana mwili bila kujua kua anaumwa magonjwa ya ngozi
 
Hiyo dawa inawasha kwa mtindo wa kipekee i cant explain but ni hataree mkuu

Imagine with 30 min inawasha kiasi ambacho mwili unapanda joto mpka una sweat..

Ukitoka hapo mwili wote maji tuu yaan hapo kama ulipng kulala uwezi kulala
Huu ugonjwa nahisi niliwahi kuumwa utotoni hivi vipele si huwa vinawasha mpka kwenye kichwa cha dudu vinatokea
 
Hizo warts zishafika hapo Unaweza tumia Silver nitrate pencil ila Inabid uwe makini sana wakati unavitoa plus acyclovir tab dose ya week kuweka mambo sawa kabisa.
 
Nimecheka mkuu mleta mada ila pole sana.

Niliwahi kuwa na mdada mwenye hpv, nikampeleka hadi hospitali ila cha ajabu hakuwahi kuniambukiza na tulidumu miaka miwili-mitatu.
Haijaisha paka iishe kabisaa.

Mkuu hapo wataaalam wamesema wadudu hukaa kwenye damu, wakisubiri kinga ishuke waanze Yao....chaap.

HNY
 
Vile Pm ya mwamba itavyokua na jam Kwa madem!
20241225_164900.jpg
 
Back
Top Bottom