Ntanatz
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 214
- 415
- Thread starter
- #341
We jamaaVile Pm ya mwamba itavyokua na jam Kwa madem!View attachment 3193888
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaaVile Pm ya mwamba itavyokua na jam Kwa madem!View attachment 3193888
Niliwahi kupata zamani, mwanzo niliwashwa kupona kwake vikaota vipele yaani vinyama. Nina ndugu daktari akaniambia zinaitwa genital warts. Alinipa dawa ya kupaka ya maji ya blue akaniambia niwe napaka ila kyupi zitakuwa zinapata madoa. Nilipaka kila siku baada ya kuoga. Vikatoweka. Havijawahi kurudia. Ila aliniambia ni wafamasia walikuwa wanatengeneza huo mchanganyiko. Rangi yabluu.Hizo warts zishafika hapo Unaweza tumia Silver nitrate pencil ila Inabid uwe makini sana wakati unavitoa plus acyclovir tab dose ya week kuweka mambo sawa kabisa.
taswira ya k..u.ma tu bila izo warts tayari inatishaUke uliathiriwa na warts una sura mbaya mno
Alikuambukiza.Nimecheka mkuu mleta mada ila pole sana.
Niliwahi kuwa na mdada mwenye hpv, nikampeleka hadi hospitali ila cha ajabu hakuwahi kuniambukiza na tulidumu miaka miwili-mitatu.
Sawa SawaView attachment 3194984
Kwa ambae anahitaji dawa ni hizi hapa..
Nilijarib kumtafuta aliyeniuzia na kumuuliza kama dawa bado anazo, na nawezaje kuzipata kutokana na yey kuwa mbali na dar, bahati ni dawa alibakiwa nazo chache na jana alifika mjini kaziacha 5 kwa mdogo ake kijichi(nilimwambia kuhusu chapisho langu).. binafsi nilienda kuzichukua mbili ni hizi hapa chini kwa atakehitaji anicheki PM..
Note: mm nimechukua mbili tuuu skuwa na uwezo wa kuchukua zote.
bei?View attachment 3194984

Tena siku ukipaka unakuwa ndo unatoka unaenda mjini. Humwelezei mtu unakufa nalo.Oaaa watu tumepitia visanga mkuu oooh 😁😁😁🙌🙌🙌🙌🙌
😄😄😄🙌🙌🙌🙌Tena siku ukipaka unakuwa ndo unatoka unaenda mjini. Humwelezei mtu unakufa nalo.
So ulitumia dawa gani kuponaHabari wakuu Wa JF, niende kwenye mada....
Katika vitu najivunia sana tangu nimeanza kuujua ulimwengu wa smartphone ni kuijua jamii forums..
Nimejiunga jamii forums ni kama miaka 5 nyuma huko sina hakika sana,
pitapita, hangaika na harakati za vijana kuhusu chupi kwenye umri wa miaka 17 kuendelea zinakuwa juu sana..
nikiwa kama kijana niliyepitia huko, nina kisanga ambacho natamani kila mtu ajue kuhusu huu ugoniwa wa genital warts namna unavyohangaisha na kuharibu saikolojia zetu(victims) aseeh..
nitapost na picha zangu kama ushahidi, i'm too brave to post my pics kwasabb kwangu naona ni kama ushindi mkubwa sana na bonge la comeback nimefanya katk kuipambania afya yangu ya andindo maliaswesa...
brother kama ujawahi umwa warts jipongeze na jikinge sana huu ugonjwa sio poa kabisa asehh
1.hauumizi
2.hauwashi
3.haunenepi
4.haujiamini
5.depression
6.haufurahii sex
7.haushiriki kabisaaa sex if u have big heart to protect others..
Kwa mara ya kwanza niliona tofauti ya kwenye shina la uume wangu nikiwa na miaka 17 back in 2017
Skustuka sana, nilichukulia kawaida,
2021 mwishoni nikapitia andiko twitter lilikuwa linaelezea ishu ya warts, wakat huo bado sjui km nina warts nikajipa tu muda kulisoma lile andiko daaaah pale ndo nikagundua kama nina huo ugonjwa hali ilikuwa kama hivi
tazama picha
nilikuwa na vidoti vitatu tu vya warts mwanzoni nikapotezeaaa
maisha yakasonga hadi 2023 hapo vile vidude aseeeh vilikuja kuwa vikubwa sana kiasi ambacho, nilikuwa stak kabsa mwanamke aone uume wangu na hata ule mda wa kujigi, skutaka kabisa ashike...
hali ilikuwa hivi tazama picha
View attachment 3192321
Broh narudia tenaa kama hujawahii umwa huu ugonjwa acha tu ni noma sana
Hapo ndo nilipoanza kuona dunia na Mungu nimemkosea.. hiki kipindi nilikuw naomba kila dua aseehh....
Nitendeleaa maana uandishi kazi aseeh
Unaonaje ukatoa namba ya jamaa kwani huenda kuna watu wanasumbuliwa nayo na pengine wakajikuta wapo mkoa aliopoView attachment 3194984
Kwa ambae anahitaji dawa ni hizi hapa..
Nilijarib kumtafuta aliyeniuzia na kumuuliza kama dawa bado anazo, na nawezaje kuzipata kutokana na yey kuwa mbali na dar, bahati ni dawa alibakiwa nazo chache na jana alifika mjini kaziacha 5 kwa mdogo ake kijichi(nilimwambia kuhusu chapisho langu).. binafsi nilienda kuzichukua mbili ni hizi hapa chini kwa atakehitaji anicheki PM..
Note: mm nimechukua mbili tuuu skuwa na uwezo wa kuchukua zote.
kwahiyo mwishoni uume ulifikisha hadi watts ngapiHabari wakuu Wa JF, niende kwenye mada....
Katika vitu najivunia sana tangu nimeanza kuujua ulimwengu wa smartphone ni kuijua jamii forums..
Nimejiunga jamii forums ni kama miaka 5 nyuma huko sina hakika sana,
pitapita, hangaika na harakati za vijana kuhusu chupi kwenye umri wa miaka 17 kuendelea zinakuwa juu sana..
nikiwa kama kijana niliyepitia huko, nina kisanga ambacho natamani kila mtu ajue kuhusu huu ugoniwa wa genital warts namna unavyohangaisha na kuharibu saikolojia zetu(victims) aseeh..
nitapost na picha zangu kama ushahidi, i'm too brave to post my pics kwasabb kwangu naona ni kama ushindi mkubwa sana na bonge la comeback nimefanya katk kuipambania afya yangu ya andindo maliaswesa...
brother kama ujawahi umwa warts jipongeze na jikinge sana huu ugonjwa sio poa kabisa asehh
1.hauumizi
2.hauwashi
3.haunenepi
4.haujiamini
5.depression
6.haufurahii sex
7.haushiriki kabisaaa sex if u have big heart to protect others..
Kwa mara ya kwanza niliona tofauti ya kwenye shina la uume wangu nikiwa na miaka 17 back in 2017
Skustuka sana, nilichukulia kawaida,
2021 mwishoni nikapitia andiko twitter lilikuwa linaelezea ishu ya warts, wakat huo bado sjui km nina warts nikajipa tu muda kulisoma lile andiko daaaah pale ndo nikagundua kama nina huo ugonjwa hali ilikuwa kama hivi
tazama picha
nilikuwa na vidoti vitatu tu vya warts mwanzoni nikapotezeaaa
maisha yakasonga hadi 2023 hapo vile vidude aseeeh vilikuja kuwa vikubwa sana kiasi ambacho, nilikuwa stak kabsa mwanamke aone uume wangu na hata ule mda wa kujigi, skutaka kabisa ashike...
hali ilikuwa hivi tazama picha
View attachment 3192321
Broh narudia tenaa kama hujawahii umwa huu ugonjwa acha tu ni noma sana
Hapo ndo nilipoanza kuona dunia na Mungu nimemkosea.. hiki kipindi nilikuw naomba kila dua aseehh....
Nitendeleaa maana uandishi kazi aseeh
Habari wakuu Wa JF, niende kwenye mada....