USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

Mbona kama ulisaidiwa na jamaa yako na sio JF?
Jf ilinisaidia kuuelewa huu ugonjwa na hata baadh ya dawa na mbinu nliwahi kuona zimepostiw humu na nikazijaribu mkuu ingawa skupata ufans kihvy lkn inawezekan bila jf nisingeelewa kabs
 
Kuna mtu vilimtokea baada ya kushiriki na msichana miaka ya 70. Alikuwa na mdogo wake daktari akampa dawa ya kupaka nadhani ni potassiom permanganate na dawa nyingine zilichanganywa. Vikawa vimepotea kabisa. Ila nguo za ndani zilikuwa zinapata rangi ya zambarau. Vijana wa maabara hispitali waulize wanaweza kujua huo mchanganyiko
 
 

Attachments

  • Screenshot_20260917_082433_Instagram.jpg
    132 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…