Ushuhuda: Nilichokiona kwenye kikao cha ukoo/familia, bila pesa huthaminiwi

Ukoo wenu ni wa kichoyo na MNA roho mbaya.

Hamna hali ya kuinuana ili kuondoa aibu ya familia.

Tuwaige ndugu zetu wachaga, wanavyobebana pindi waonapo mwenzao amekwama.

Umesema Wachaga?
Mbona hii kitu ya kubaguana ipo hata Uchagani!
Kama huna pesa kule msibani, wewe ni mtu wa kutumwa mbege & bia na vitu vingine.
Nenda kule Uswaa, Machame utakuta haya mambo.
 
Siku 39 tu maisha yakakubadilikia, ulipiga dili gani mzee baba
 
Umesema Wachaga?
Mbona hii kitu ya kubaguana ipo hata Uchagani!
Kama huna pesa kule msibani, wewe ni mtu wa kutumwa mbege & bia na vitu vingine.
Nenda kule Uswaa, Machame utakuta haya mambo.
Kote tuu... jamani... kwani huko hamnaga wale mgambo wa kukodi? Na catering mbona ziko nyingi sana jaman na wanapika balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niliropoka baada ya kula pilau la msiba nikasema mbona hili tamu kuliko la dar na kila mtu akakubaliana na mimi[emoji23][emoji23]
 
Hakuna alieweza kusema "SINYANYUKI, NIUENI..!!"?
Nampendaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] walikua wanamuabudu Beda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilaaaaaaaa.. kuna watu maskini jeuri nyieee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…