Ushuhuda: Nilichokiona kwenye kikao cha ukoo/familia, bila pesa huthaminiwi


Kumbe wewe ndio ulimtoa kafara bibi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumegunduaaa.
 
Kama hujafikia uchumi wa Kati epuka vikao vya ukoo.

Hata mmoja akiharibu hewa wewe ndio unatupiwa jicho.

Wakati wa kula kila mtu anaangalia unavyojichotea minyama na uchaguzi wako wa kinywaji.

Siku ya kurudi town kila unaemuomba lift anakuambia bado yupo Ila hakuambii lini ataondoka
 
Hahahahahahahaa....nimecheka sana hyo line ya mwisho dah🤣
 
Eeh sasa unataka lift had town mzee na ukifika town huna mishe unaishia kufikia kwa mtu na kushindia seblen...hahaa unamgeuzia lawama kwamba ndo ulikuja nae hivyo anapaswa kukusaidia kazi na fedha. .kumbe uliomba lift mtu akakupa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ita kuwa wewe ndio ULIKATWA JICHO, maana inaonekana hata wewe haukuongea,
TAFUTA HELA MKUU, ila usiue au kutoa ndagu,
TOA SADAKA TU KANISANI NA FUNGU LA KUMI
 
Unanikumbusha kaka yangu mkubwa aliambiwa apange viti afu mdgo wake akatolewa kiti akae kisa anapesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…