GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Aisee!!! Yaani unamshauri kusema uongo? Kumbuka, NJIA YA MWONGO NI FUPI!Njia nyepesi ya kupata chakula ugenini zunguka popote ukikuta Pana msiba hapo ndo kwako jibidiishe tu kufanya kazi za kupasua Kuni,kusomba maji,nk.
Peleleza kazi ya marehemu ili uwe na technic ikitokea ukiulizwa unamfahamu vipi unaweza sema nilikua fundi wake,kibarua wake nk.
Hadi msiba uishe utakuwa umeshapata ramani