GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Aisee!!! Yaani unamshauri kusema uongo? Kumbuka, NJIA YA MWONGO NI FUPI!Njia nyepesi ya kupata chakula ugenini zunguka popote ukikuta Pana msiba hapo ndo kwako jibidiishe tu kufanya kazi za kupasua Kuni,kusomba maji,nk.
Peleleza kazi ya marehemu ili uwe na technic ikitokea ukiulizwa unamfahamu vipi unaweza sema nilikua fundi wake,kibarua wake nk.
Hadi msiba uishe utakuwa umeshapata ramani
Bora uongo kuliko kufa njaa,unaijua njaa ya ugenini inavyooumaAisee!!! Yaani unamshauri kusema uongo? Kumbuka, NJIA YA MWONGO NI FUPI!
Bibi yangu ww kila kitu ni uislamu tu[emoji4][emoji4]Ulikuwa hujaiona misikiti, au huzijuwi nyumba za Waislam?
Hakuna msikiti au Muislam atakunyima kula, siku nyingine ukisikia njaa, jitose msikitini tu uwaambie Waislam shida yako, utakula mpaka ukitazame macho chakula.
Hivi unaishi Tanzania au wapi?
Nipe link ya huo uzi.....Kuna member humu jf kwenye ule uzi wa watu waliowahi kupitia magumu kwenye maisha alisema alikua akihisi njaa anameza mate mengi au anaachama mdomo upepo unaingia tumboni siku zinasonga, alikonda mpaka alikua akimilikwa tochi tumboni mwanga unatokea upande mwingine wa mgongo.
But guess what, God is good[emoji106]
Murtard mfano mtu alikuwa mwislamu halafu anaacha uislamu na kuamua kuwa mchawi mwandamizi🤣🤣🤣Murtadi ndo mtu wa namna gani 😂
Sio kwa waislamu kama ingekuwa vice versa.Tumezaliwa mabinti wa2 baba yangu na mama yetu ni wakristo tena wazuri tu lkn mdogoangu tangu akiwa sec alipenda dini ya kiislam na baada ya kidato cha nne alibadilisha kabisaa na sasa nikama amezaliwa humo. Sala zote anaswali haimpiti hata moja. Tunampenda, hatujawahi kumtenga. ikifika azana tunazima redio na ikifika mda wa sisi kuomba anaheshim pia.
Dini hazijawahi kututofautisha ilimradi hatuingiliani Basi Mambo mengine yanasonga.
Sijui ni nini mnabishania hapa enyi Wana wa ibrahim wakati kwa Mungu hakuna mbora kuliko mwenzie.
KUBISHANIA DINI KWANGU MIMI NI UTOTO
Kuliko kula msikitini bora nife njaaUlikuwa hujaiona misikiti, au huzijuwi nyumba za Waislam?
Hakuna msikiti au Muislam atakunyima kula, siku nyingine ukisikia njaa, jitose msikitini tu uwaambie Waislam shida yako, utakula mpaka ukitazame macho chakula.
Hivi unaishi Tanzania au wapi?
Umejazwa ujinga na hakuna wakukuondolea hilo isipokuwa ni wewe mwenyewe tu.Kuliko kula msikitini bora nife njaa
Mjinga wa kwanza duniani ni wewe unayetetea hata magaidi wauaji kwa kisingizio cha dini.Umejazwa ujinga na hakuna wakukuondolea hilo isipokuwa ni wewe mwenyewe tu.
Kw jinsi unavyoandika tu, unaonesha u mjinga wa kutupwa.Mjinga wa kwanza duniani ni wewe unayetetea hata magaidi wauaji kwa kisingizio cha dini.
Sasa mtu kama wewe nitakulaje chakula chako?
Unaamini asiye muislam ni kafiri si utaniwekea sumu wewe mwanaharamu?