Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 2,262
- 5,885
- Thread starter
-
- #41
Kiongozi nayosema hapa sio kutafuta attention au kujulikana.Nimesema kwa moyo safi tu(najua kuna watu hawana imani na uwepo wa Mungu sio kazi yangu kuwafanya waamini).Nimeandika ufupi tu kwa lengo la kurejesha tumaini kwa taifa na viongozi wetu(wanasema mjumbe hauliwi nimekwambia kwa sasa nipo Kahama sijifichi.Ujumbe huu ni kwa nia njema,sote ni watanzania nisingependa tuwe na mwisho mbaya.Asante)Basi ni Mungu alie hai na sio mapepo ,Muulize tena kwamba mbona Taifa linaelekea Angamia na unipi majibu mapema kwatadhalisha wana wa Mungu wa Taifa hili ? Ukipata jibu njoo tena ,maana ni matumaini yangu atakwambia yote yajayo na kuwashirikisha wana wa Mungu .
Au kama ni kweli Mungu kweli unaesemezana naye basi umekengeuka that's anashindwa kukupa vibali vingine ,hujanyooka katika njia zake, tofauti na hapo ni mapepo
MiAcha mikwara na maisha ya ******!
Mbona we mwenyewe umeshndwa kusimamia haki nyumbani kwako?
Uuyo nwana ni kweli ni tapeli balaaKufupisha habari,nilienda Tanga kuna kanisa la prophet anajiita Julius K(sio nabii ni tapeli wenyeji wa Tanga mnajua hilo kanisa linaitwa Shiloh kitu kama hicho).Niseme tu taifa lenu limeandamwa na roho wengi wachafu,niliona mengi yasiyoelezeka hapa(majini,misukule,mazombie na mijitu isiyoeleweka).
Kiongozi kama kuna sehemu nimedanganya nipo tayari kusimama kama shahidi kueleza hiki nilichosema.Na mapenzi mema na taifa na waheshimu viongozi wetu(kwa maana mwenyezi Mungu ndio hutoa mamlaka lakini ukweli lazima usemwe)Wizi mtupu.
Mwaga upupu here hereKama wanakumbuka kipindi Magufuri(R.I.P) anafukuza watoto wa diploma kule social sciences waulize kuna janja alikuwa hummanities kipindi kile watakupa ufupi wa hii habari
Siku hizi kila mtu ni mtabiri,
Ndugu The Icebreaker , Umeyajuaje yote haya.Kila mtu ni nabii,
Watu wengi siku hizi wanajitangaza humu kua ni manabii na wana maono,sijui wana jicho la tatu,mara wanaoteshwa...
Ni hivi labda nifupishe,kipindi kile Magufuri anafukuza watoto social sciences wa diploma.Hummanities alitokea janja(ambaye ni mimi) ambaye alichafua hali ya hewa(uliza wote kipindi kile naenda BP na Alfa cafe nini kilikuwa kinatokea)Mwaga upupu here here
Wakati magufuli anakaribia kutangazwa mwaka 2015 nikiwa naprocess uhalisia unaokuja mbeleni nilisikia uchungu mkali sana ambao ulidumu kama sekunde kama tano alafu ukaondoka na mara zote Wakati wa utawala wa magufuli nilikuwa sinaga aman rohoniNi hivi labda nifupishe,kipindi kile Magufuri anafukuza watoto social sciences wa diploma.Hummanities alitokea janja(ambaye ni mimi) ambaye alichafua hali ya hewa(uliza wote kipindi kile naenda BP na Alfa cafe nini kilikuwa kinatokea)
Kwa kifupi sana utawala wa Magufuri(R.I.P) ulikuwa umekataliwa(najua alitenda mengi mazuri ambayo imebaki kama kumbu kumbu kwa watu lakini ni kwamba kwa niliyoyaona Mungu tayari hakuwa upande wake(haya ni mawazo yangu kutokana na analysis niliyofanya))
Nimeona bunge likiwa live(TBC) na watu wanaonekana ni kama misukule(najua linaweza kuwa kosa kisheria lakini nasema nilichokiona),Tv imaani ikionyesha misa takatifu(ilikuwa sehemu ya ibada ya ekaristi kwa wakristo wanaojua misa imegawanyika sehemu ngapi).Naeleza machache sana lakini kama tunaweza tuliombee taifa letu(Mungu yupo)
Hilo tukio lilitokea Block gani pale humanities?Kila mtu atasema yake lakini waliokuwa UDOM(Hummanities wanajua kilitokea nini 2016 anayesema uongo niseme tu amani iwe juu yake.Muda utasema ukweli)
Kwaiyo kuna maandamano?Wakati magufuli anakaribia kutangazwa mwaka 2015 nikiwa naprocess uhalisia unaokuja mbeleni nilisikia uchungu mkali sana ambao ulidumu kama sekunde kama tano alafu ukaondoka na mara zote Wakati wa utawala wa magufuli nilikuwa sinaga aman rohoni
Wakati Ruto anakaribia kutangazwa mwaka 2022 kuna mda nilisikia uchungu mkali sana moyoni mwangu kama ule ulionitokea kipindi cha magufuli matokeo anachofanya Ruto kinajieleza
Juzi nikiwajaribu kuprocess hii habari ya maandamano nilisikia tena uchungu mkali sana moyoni mwangu
Mara zote huu uchungu ukinijiaga kinachofuata sio habari nzuri
Nilikuwa nakaa block 18(kama sijasahau namba) ni zile block mbili za mwisho kabisa.Moja ambayo ilikuwa kinyume na majengo waliyofanya ya wizara kipindi kileHilo tukio lilitokea Block gani pale humanities?
Hilo tukio litatokea kabla ya uchaguzi au baada ya uchaguzi Mkuu?Upo wapi nikueleze ukweli(Kama kiongozi wetu hataweza kusikia ukweli huu.Niseme tu anaenda kupinduliwa.Situmii ID fake majina yangu ndio hayo nipo Kahama sahivi nitafute ntakueleza ukweli.Siogopi kufa maana ntakufa kama shahidi na nikitekwa nikarudi ntaeleza tena ukweli.Unabisha sema ulipo ntakupa ukweli wote)
Mambo yenyewe mnasomea mafriji afu mkapambane na Lissu, utaelewa saa ngp?Hivi ni mimi peke yangu ndiye nisiyeelewa kilichoandikwa?
Nipo hapa kueleza ukweli ninachojua.(Sifanyi hukumu yoyote hile kiongozi, najua naweza kusema tofauti na matarajio yako)Hilo tukio litatokea kabla ya uchaguzi au baada ya uchaguzi Mkuu?
Naombea iwe kabla(maombi yangu)😜