Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Amen, kwanza asante na naunga mkono hoja yako kuhusu haki na kumpenda Mama ila title ya uzi wako ni ushuhuda wa kweli, mbona hujaweka ushuhuda wowote?Nimeandika huu ujumbe kwenye jukwaa la siasa, nikiwa na lengo kwamba, kama kuna watu wako karibu na kiongozi wetu (Mh. Samia), basi wamwambie haki ndio njia pekee itaweza kurejesha mambo kwenye usawa. Akifanya tofauti, ajiandae kupitia magumu (binafsi kuna muda niliwaza nikae kimya, lakini kuna muda namuona huyu ni mama pia. Binafsi nampenda mama yangu; hivyo hata huyu najua ana watoto ambao wangependa kuona akifanikiwa. Hivyo mwambie: atende haki).
Amani na upendo viwe kwenu. Samahani kwa usumbufu wowote. (Taifa litakombolewa hili.)
Ushuhuda ninao kiongozi nimesema machache kwenye hii mada lakini kama unataka mengi zaidi naweza kuweka hapa kulingana na ambavyo utauliza au kwenye ujumbe binafsi(PM) ntaweza kujibu.Lengo ni kwamba wote tufike salama sina nia mbaya na taifa hili au viongozi wetu ndio maana ntakuwa waziAmen, kwanza asante na naunga mkono hoja yako kuhusu haki na kumpenda Mama ila title ya uzi wako ni ushuhuda wa kweli, mbona hujaweka ushuhuda wowote?
P
Sijui binafsi siombei maandamano na ni matumaini yangu hayatakuwepoKwaiyo kuna maandamano?
Yatatokea...dunia nzima ipo kwenye kipindi cha mabadiliko...!Sijui binafsi siombei maandamano na ni matumaini yangu hayatakuwepo
Nimevipa majina kama mazombie(kutoka na experience za movies).Ki uhalisia wale viumbe nilishindwa kuelewa ni wa aina gani.Nimewaona mitaa ya Mbezi kuna bar moja hiko njiani pale(Nilifika pale kwenye harakati za kuwakimbia watu).Niwaona pia Chalinze tulishuka kupata chakula tukiwa tunatokea Tanga.Kiufupi nimeona mengi ambayo nikisimulia kawaida unaweza dhania ni ndoto.Mleta uzi, mazombie ni viumbe gani??
Mabadiliko ya jambo lolote hayatokei kwa maombi there should be actions.Kiongozi kama kuna sehemu nimedanganya nipo tayari kusimama kama shahidi kueleza hiki nilichosema.Na mapenzi mema na taifa na waheshimu viongozi wetu(kwa maana mwenyezi Mungu ndio hutoa mamlaka lakini ukweli lazima usemwe)
Kwenye movie zombi likikuuma na wewe unakua zombie, vipi hap mazombi ya kitanga ikoje??Nimevipa majina kama mazombie(kutoka na experience za movies).Ki uhalisia wale viumbe nilishindwa kuelewa ni wa aina gani.Nimewaona mitaa ya Mbezi kuna bar moja hiko njiani pale(Nilifika pale kwenye harakati za kuwakimbia watu).Niwaona pia Chalinze tulishuka kupata chakula tukiwa tunatokea Tanga.Kiufupi nimeona mengi ambayo nikisimulia kawaida unaweza dhania ni ndoto.
Ni viumbe wamekaa kama binadamu lakini muonekano wa usoni ndio ulinipata utata kuelewa wale ni watu wa aina gani.Midomo hiko wazi(meno yanaonekana).Huku kwingine ni sawa na watu lakini sura zao ndio ilikuwa changamoto kwangu
Hawa mazombie bhana sikuwaona Tanga pekee.Ilikuwa hivi baada ya kutoka Dar tulienda Tanga,tumefika Tanga usiku kidogo nadhani ilikuwa majira ya saa mbili kwenda saa tatu.Kesho yake asubuhi tuliamkia kwenye kanisa la huyu nabii wenu(maana sidhani kama ni nabii wa Mungu,majina anaitwa Frank Julius K,kanisa linaitwa(Shiloh,kama sijakosea)Kwenye movie zombi likikuuma na wewe unakua zombie, vipi hap mazombi ya kitanga ikoje??
Kwa hiyo haya mazombie ndio yatampindua Rais Samia ??Hawa mazombie bhana sikuwaona Tanga pekee.Ilikuwa hivi baada ya kutoka Dar tulienda Tanga,tumefika Tanga usiku kidogo nadhani ilikuwa majira ya saa mbili kwenda saa tatu.Kesho yake asubuhi tuliamkia kwenye kanisa la huyu nabii wenu(maana sidhani kama ni nabii wa Mungu,majina anaitwa Frank Julius K,kanisa linaitwa(Shiloh,kama sijakosea)
Tukiwa ndani ya kanisa mambo mengi ya mauza uza yalikuwa yanaendelea.Kuna wakati nilibanwa mkojo basi nikaomba nikakojoe(maana nilikuwa chini ya uangalizi wa ndugu zangu ambao hawakujua nini kinaendelea)
Nilienda chooni wakati nafika kule.Niliona mijitu imevaa sare kama za wafungwa(rangi ya njano)ikiwa imefungwa minyororo.Niliogopa kwanza lakini kutokana na matukio niliyokuwa nimepitia nikasema kama nikifo basi(mtu hafi mara mbili(ninayo sababu ya kusema hivi)).Sio watu wakawaida wale
Mengine nimeyaona tukiwa tunarudi Dar,moja tulilipandisha kwenye gari(stori ni ndefu siwezi kuimalizia yote)
Niliyoyaona tulipofika Mbezi ndiyo yaliniogopesha maana ni kama watu lakini tuliposhuka nikama yalikuwa yanataka kunisambulia maana tulishuka kuchukua chips nilikuwa na njaa
Ni jambo la kheri.Nipo hapa kukumbushia watawala kutenda haki.Najua wote hatuwezi kuwa watawala lakini furaha yetu tabaka tawaliwa ni kuona haki inatendeka.Asante sana ndugu yetu, Mtanzania mwenzetu Kwa kulitakia mema Taifa.
Taifa la wote, Kwa maslahi ya wote sio ya wachache.
HAIWEZEKANI TAIFA LA WATU MILIONI 65 ILA WANAONUFAIKA NI FAMILIA KAMA 400 TU.
Rais hawezi kupinduliwa na zombie(huu ni ukweli).Rais atapinduliwa na jeshi lake(huu ni ukweli pia ambao muda mimi sijui na wewe pia hujui lakini litatokea)Kwa hiyo haya mazombie ndio yatampindua Rais Samia ??
Niliwahi kuandika Uzi humu ndani baada ya Serikali kuifungia jamii forum na X ( zamani Twitter) nilisema.....Rais hawezi kupinduliwa na zombie(huu ni ukweli).Rais atapinduliwa na jeshi lake(huu ni ukweli pia ambao muda mimi sijui na wewe pia hujui lakini litatokea)
Huu ni ufunuo wa kimbingu na hakuna atakayeweza kuzuia.Nachoweza kushauri watawala tendeni haki hili tusiwe na mwisho mbaya wote
Na iwe hivyo. AminaRais hawezi kupinduliwa na zombie(huu ni ukweli).Rais atapinduliwa na jeshi lake(huu ni ukweli pia ambao muda mimi sijui na wewe pia hujui lakini litatokea)
Huu ni ufunuo wa kimbingu na hakuna atakayeweza kuzuia.Nachoweza kushauri watawala tendeni haki hili tusiwe na mwisho mbaya wote
Kuwa na subira.Hatuna muda mrefu sana tutaona mageuzi mengi kwenye hili taifa.Najua jeshi linaweza likawa halina hata mpango mpaka sasa(kwa maana kuna influence za wanasiasa,kuna ulafi, mengine yote ambayo watu wanaweza kusema)Niliwahi kuandika Uzi humu ndani baada ya Serikali kuifungia jamii forum na X ( zamani Twitter) nilisema.....
" JWTZ you should not only protect our borders, you should also protect our freedom"
HAIWEZEKANI serikali inafungia mitandao ambayo watu wengi wanaitumia kupata habari, kufanya biashara na ajira Kwa wengine Kwa maslahi binafsi.
Mimi H.Y. Jumbe naomba sana Jeshi la wananchi Tanzania lichukue Nchi mapema sana.