Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 2,262
- 5,885
- Thread starter
-
- #81
Itakuwa japo mimi binafsi bado siombi limpate hili.Najua ni binadamu kukosea wote tunakosea.Nafasi ya kurekebisha anayo lakini akifanya tofauti anaenda kukutana na ghazabu ya Mungu(sio wanganga,sio wasomi,sio majeshi,sio mali zake vitaweza kumuokoa)Na iwe hivyo. Amina
Mungu atatenda.Kama una amini sali lakini ombea viongozi wetu kwanza wabadilike watende mambo kama miongozo yetu inavyosema.Wameamua kutuuzia hofu, wananchi hawana pa kukimbilia jeshi si la wananchi bali ni la watawala,jeshi linatoa matamko hadi waje kujishushia heshima kama mapolisi
Ni upumbavu kweli lakini hata huyo kiongozi wako akiona huu ujumbe wako lazima atakucheka.Nyie ndio watu ambao hamna msaada wowote kwa huyo kiongoziUmeandika upumbavu mtupu. Kwani mtu ukiwa mlokole lazima pia uwe na tatizo la kiakili? Nyie watu mnaoabudu kwenye makanisa ya kilokole wengi ni kama mataahira.
Wewe ni mtu mpumbavu.Ni upumbavu kweli lakini hata huyo kiongozi wako akiona huu ujumbe wako lazima atakucheka.Nyie ndio watu ambao hamna msaada wowote kwa huyo kiongozi
Nilipewa ujumbe wa dunia nzima hili taifa lenu ni dogo sana kiasi niwaze sana kuhusu habari zenu ndio maana unijui lakini viongozi wako wote wananijua na wakiona huu ujumbe lazima waogope.
Nikuhakikishie mnaenda kupitia magumu tena ambayo kipindi mtanihitaji sitakuepo.Nilikwambia sijifichi,mwambie huyo kiongozi atende haki.Mfikishie tu huo ujumbe na mwambie ni kijana yule ambaye alikuepo akapotea sasa anakaribia kurudi
Kama hakuna mabadiliko mwambie sasa Mungu anaenda kushusha kiama kwa taifa lenu(Ntaona kama wewe unaweza kuwanusuru)
Siapenda kuzungumzia habari ya maono yako; akini inanilaziumu kwa ufupi kuwa, kama hayo maono yako bado hayamjui huyu unayemwita mama hadi katika hatua hii ya mwisho; nasikitika kabisa kukuambia kuwa maono hayo hayafai kabisa.Nimeandika huu ujumbe kwenye jukwaa la siasa, nikiwa na lengo kwamba, kama kuna watu wako karibu na kiongozi wetu (Mh. Samia), basi wamwambie haki ndio njia pekee itaweza kurejesha mambo kwenye usawa. Akifanya tofauti, ajiandae kupitia magumu (binafsi kuna muda niliwaza nikae kimya, lakini kuna muda namuona huyu ni mama pia. Binafsi nampenda mama yangu; hivyo hata huyu najua ana watoto ambao wangependa kuona akifanikiwa. Hivyo mwambie: atende haki).
Huyo "mtu mpumbavu" ningependa sana angalau mara moja hii upumbavu wake uwe ni wa faida kwa taifa letu hili.Wewe ni mtu mpumbavu.
Ujue napoteza muda wangu ambao ningetumia kuwaza mengine yenye tijaHuyo "mtu mpumbavu" ningependa sana angalau mara moja hii upumbavu wake uwe ni wa faida kwa taifa letu hili.
Mkuu 'Seth', hivi hujui tu ni kiasi gani tunatamani maono yako yawe ya kweli; lakini kwa sasa hivi hatuwezi kamwe kuishi kwa kutegemea maono kama hayo yako.Ujue napoteza muda wangu ambao ningetumia kuwaza mengine yenye tija
Ni hivi atokee mtu(hapa naongelea watawala,nyie watawaliwa sina ujumbe wowote kwenu apuuze huu ujumbe)
Utajua kwamba Mungu yupo(uzuri kila nilichwambia sijaficha tafuta watu wanaojua watakwambia huyu aliyeandika hapa ni nani,nilieleza toka mwanzo nipo Kahama sifichi maana hakuna ninaye muogopa.Njoo nikuonyeshe ukweli wote ukitoka hapa utajua mnaelekea wapi)
Amina,na ikawe hivyoSio mikwara kiongozi nasema ukweli ambao najua kilichopo mbele yetu.Mimi ni shahidi(muda ni shahidi pia).Kuwa na amani Mungu ndiye mwenye kujua ukweli.Kila la kheri
Anayewapa mamlaka ndio kanipa mimi ujumbe.Nimesema hivi nina ujumbe wa dunia nzima uzuri wapo watu wanajua mimi ni nani.Mkuu 'Seth', hivi hujui tu ni kiasi gani tunatamani maono yako yawe ya kweli; lakini kwa sasa hivi hatuwezi kamwe kuishi kwa kutegemea maono kama hayo yako.
Ninakuhimiza, mkuu, Oktoba 29, tutoke pamoja tukauondoe uovu huu unao tukabili sote wakati huu.
Nimejizuia sana kutosema mengine juu ya maono yako.
N.B., "Atokee mtu (watawala)....apuuze huu ujumbe" Unataka wapuuze mara ngapi? Wewe unadhani katika muda huu bado kuna cha kuwafanya wao warudi nyuma?
Kwa nini hukuwaambia mapema?
Haya maandishi yako humu JF umewapelekea na kuwakabidhi mikononi mwao, usiwe na shaka kuwa pengine hawakuuona ujumbe wako JF?
Unatuletea sisi hapa, halafu unasema sisi siyo walengwa; sasa unataka tufanye nini?
AMinaKama ulisoma UDOM au una ndugu alisoma pale kamuulize mwezi wa sita Hummanities kulitokea nini?(Jibu atakupa) kama unataka mengine zaidi niambie nikuambie nilipo ushahidi utapata wewe na utawaeleza wenzio(Ombea taifa lenu safari inaweza isiwe nyepesi hii)
Hata Yesu walimtukana na kumtemea mate pamoja na kumdharau piaWewe ni mtu mpumbavu.
Unazungukia mle mle; wakati ulikwisha sema mwenyewe hupendi kupoteza muda, kitu ambacho kwangu ni cha maana sana. Sasa ninakuvumilia kidogo tu, kwa sababu tayari ninajihisi kupoteza muda nawe.Ujumbe huu ni kwa watawala sio watawaliwa.Sasa ukitaka kujua huu ujumbe umetoka kwa mwenye mamlaka.Atokee mtawala hapa apuuze kutenda vile nimewaomba(nimeomba haki itawale ndio amani itarejea na taifa litakombolewa).Huu ujumbe upuuzwe sasa uone nini kinaenda kutokea kama utaona natoa msaada wowote.
Nalipenda taifa langu ndio maana nimetoa ujumbe huu baada ya kuona tunaelekea pabaya.
Sina muda tena wa kupoteza na mtu kama wewe.Saa ya ukombozi ikifika nitakuwa mimi na Mungu wangu(sitahitaji hamasa ya watu au majeshi ya aina yoyote ile)
Mkuu, nimekusoma tangu mwanzo wa uzi wako. Kila nikosoma roho yangu inaniambia wewe sio mtu wa kawaida. Ukute tunaongea na Malaika humu. Tatizo watu tu wabishi sana, hata nyakati za kurudi kwa YESU zikifika, kuna ambao wataendelea kubisha tu. MUNGU akubariki..Kuwa na subira.Hatuna muda mrefu sana tutaona mageuzi mengi kwenye hili taifa.Najua jeshi linaweza likawa halina hata mpango mpaka sasa(kwa maana kuna influence za wanasiasa,kuna ulafi, mengine yote ambayo watu wanaweza kusema)
Lakini niseme spiritual world ni ulimwengu ulio nje wa uwezo wetu na kila kitu kinaanzia kule.Hivyo ikiwa ilipangwa itatokea hakuna mtu atalizuia yani mtajikuta tu mambo yamekuwa.
Siogopi tena kumueleza huyu kiongozi wetu(mfikishieni ujumbe,haki itafanya utawala wake upate kibali.Kumbuka ni mrithi wa utawala wa nyuma ambao katika hicho kipindi yalitokea yote haya niliyoyaona)
Kuna mama mmoja tukiwa kanisani(hili lipo Mikocheni hili kanisa nakumbuka tulienda usiku kidogo na uchovu sikuweza kulitambua kwa haraka).Wakati tukisali pale bwana niliweza kupiga vile vyombo vyao kwa hisia(yani nlikuwa na command).Yule mama alisema mengi lakini alisema huyu mtoto ana nguvu na akasema vyombo vyake havitengenezi kiuhalali(alitaja na baadhi ya makumpuni,sitayasema haya na siwezi kusema)