Hapo #4 pana utata. Ilikuwa rahisi sana kwa waliogundua hiyo dawa kuwapa wagonjwa kadhaa wenye umri tofauti tofauti na maendekeo yakafuatiliwa kwa karibu sana na watalaam, halafu baada ya mafanikio tukatangaza. Badala yake wanasiasa wanatangaza dawa na hawasemi wametafiti vipi. Kama kiti kiko bora kwanini pasiwe na uwaziAsante mleta mada someni ni muhimu.
1. Corona ni gonjwa serious, tumuombe Mungu atunusuru.
2. Kila mmoja achukue wajibu binafsi kujilinda na kuwakinga wengine.
3. Kwa kuwa ni garama kubwa tutumie kila tiba asili iliyothibitika,lishe nk.
4. Serikali itimize wajibu wake wa msingi kuwa na mpango dhabiti na sio kukwepa wajibu.