Ushuhuda wadada: Ulijisikiaje siku mpenzi wa zamani alipooa wakati wewe bado hujaolewa?

Kujiskia vibaya au kutojiskia chochote inategemea mliachana kwa style gani, kuna maudhi (mapungufu) ya mtu unakutana nayo mpaka ukiskia kaoa/kaolewa unamwambia Mungu asanteh bora nilitoka mapema kwasababu kama kabla ya ndoa ulikutana na vitu vya ajabu kiasi kile je ni vipi mambo yale yangekukuta ukiwa ndoani?
 
[emoji122][emoji122][emoji122]

Kinachonishangaza mm kwann analiaa!!?
hapo ndio alitakiwa kujipa moyo wa ushindi maana amekuwa jasiri na kuweza kuisimamia imani,

Kulia kwake inawezekana anajutia kwann hakubeba mimba ya huyo mtu.
Kulia kupo mara nyingi mpendwa hata kwa mtu aliyekuwa anakukera sana. Kuna ile umeshamzoea mtu, ni part ya maisha yako afu all of a sudden unatakiwa umsahau. Na kulia ni therapy pia, machozi yakiisha unaanza kucheka tu na kujiuliza hivi nilikuwa nalilia nini jamani
 
kwenye therapy hapo nakubaliana na ww kwa asilimia zote [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
natamani nikamtongoze huyo dada sasa ivi maana nitakubaliwa na papa nitapewa mpaka niichoke mie nikiamini hatorudia makosa
 
Mie tukishaachana ndio imetoka hiyo, ufe uoe hiyo ni kimpango wako. Wala sijali na wala huwa sipendi kujua maisha yake yakoje huko aliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…