Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
ulifurahi alafu ukamlaumu tena mbona kama sijakuelewa Thad?Nilifurahi sana na nilimlaumu kwa kutonipa kadi ya mchango na mwaliko!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulifurahi alafu ukamlaumu tena mbona kama sijakuelewa Thad?Nilifurahi sana na nilimlaumu kwa kutonipa kadi ya mchango na mwaliko!
hahahaAfrica kufuatilia maisha ya watu ni moja ya majukumu ya watu [emoji2][emoji2]
kabisa chiefYote yanasababishwa na idle mind.
braza umeanza lini uhenga wa mashairi hayo?Likuepukalo lina heri nawe
[emoji124]
Kulia kupo mara nyingi mpendwa hata kwa mtu aliyekuwa anakukera sana. Kuna ile umeshamzoea mtu, ni part ya maisha yako afu all of a sudden unatakiwa umsahau. Na kulia ni therapy pia, machozi yakiisha unaanza kucheka tu na kujiuliza hivi nilikuwa nalilia nini jamani[emoji122][emoji122][emoji122]
Kinachonishangaza mm kwann analiaa!!?
hapo ndio alitakiwa kujipa moyo wa ushindi maana amekuwa jasiri na kuweza kuisimamia imani,
Kulia kwake inawezekana anajutia kwann hakubeba mimba ya huyo mtu.
Gari nyingine bodi zimepigwa porishi na zinang'aa sana lakini injini ni mbovu hata mende hawakai! (jokes)!Kwani haifai bila kutest?
kwenye therapy hapo nakubaliana na ww kwa asilimia zote [emoji4] [emoji4] [emoji4]Kulia kupo mara nyingi mpendwa hata kwa mtu aliyekuwa anakukera sana. Kuna ile umeshamzoea mtu, ni part ya maisha yako afu all of a sudden unatakiwa umsahau. Na kulia ni therapy pia, machozi yakiisha unaanza kucheka tu na kujiuliza hivi nilikuwa nalilia nini jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]braza umeanza lini uhenga wa mashairi hayo?
haya braza...ngoja tumchinje jogoo kwanza hapa alafu tuje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kitambo sana kaka
Tugawane nyamahaya braza...ngoja tumchinje jogoo kwanza hapa alafu tuje
AiseeehNilimpa pole anayeolewa mana dooh ni zahama tu kaipokea Maishani mwake..
chukua yote tu...mm kumchinja inatosha [emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23]Tugawane nyama
Asante boss [emoji23][emoji23]chukua yote tu...mm kumchinja inatosha [emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Kwani haifai bila kutest?
Huyo rafiki yako ni bikra? Kwa maana hajatobolewa? Kama sio basi ni mpumbavu pekee atamsubiri mpaka siku ya ndoa.