Usiache kununua ardhi. Niliyojifunza Goba sikufanya makosa Madale

shida fake vingi uwe na mtandaoa mkubwa wa kujiridhisha viko salama mkuu unanunua kumbe umeuziaa condom

Huu mtandao kuwanzia madalali
Wenyeviti serikali za mitaaaaa
Na jamaa wa manisapaa ama ardhi

N konyoosanaaa
 
Una akili sana mkuu! Aya ndio Mambo ya kujadili sio udini na upuuzi mwingine
....mi nashukuru nilinunua maeneo ambayo ilikuwa pori sasaivi mjini na ndio naishi..waliokuwa wananicheka mpaka leo wanapanga....nna nyumba zinga,mapinga kibosha, bunju,....miaka iyo 2003 porini kote huko
 
Nitukanie ma X wote akiwemo chama chawalaπŸ˜‚
Kwa niaba ya Chama Cha Mashangazi dhambi zao zitabebwa na Lucas Mwashambwa mtoto mwenye msambwanda uliofichwa kwenye kijora cha kijani wewe Lucas kenge wa Shamia Khalifa kende zako rudisha pumbu zetu kwenye ofisi za wanaume
Shabhashhhh
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mwaka 2009 nilinunua pori kwa laki 3 leo hii nikitaka 50m ya chap napata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…