Usiache kununua ardhi. Niliyojifunza Goba sikufanya makosa Madale

Huko Mabwepande bei ipoje?
 
2016 tunilinunua sehemu kwa 5M mwaka 2024 tulipauza kwa 30M hela nikaijengea maduka matano kwa pamoja baada ya kumaliza nikazipangisha fremu hizo tano kwa thamani ya shilingi karibu 45M kwa mwaka. Hakika ardhi ni mali. Ni mfano tu nimetoa.
 
Kama mnataka mali mtayapata shambani(Ardhi).
 
Pale buselesele (rumasa) kipindi cha covid19 nilinunua kiwanja cha 650k tu baada ya miaka3 nikauza 7m.
Kahama hali kadhalika kuna sehemu nilinunua ardhi kwa 900k baada ya mwaka tu nikauza 3m.

Kwa sasa kuna mahali nimepaona katavi nitaenda kununua ardhi kama sina akili timamu nahua baada ya miaka2-4 hapo nitakuwa na makumi milioni.
 
Hakika vijana wawekeze kwenye ardhi.
Msumi 20*20 mil 6 hupati sasa viwanja vimepanda lami inayojengwa imepandisha sana ardhi.....iko 18-20mil sasa.
Makabe ndo kabisa huwezi kupata 20 kwa 20 kwa mil 6.kama mtu anacho kwa mil 6 naomba niwe mteja
 
Kwahiyo huko makabe viwanja ndio imekua hiyo Bei Sasa hivi
Ardhi ya Makabe iko juu zaidi ya ardhi ya Msumi.Hakuna ardhi inauzwa ukubwa 20*20 kwa mil 6 Makabe wala Msumi.Hiyo bei ni ya muda sio sasa.Ukikuta mtu anauza hivyo kuna shida hilo eneo anataka akuingize mtegoni.Kwa uchunguzi jaribu kupitia hata page za madalali Instagram wanaouza viwanja uone Makabe/Msakuzi/Msumi ni sh ngapi kwa Squaremiter.
 
Duuh basi makabe imeendelea kitambo sana huko nimesoma shule ya msingi makabe kipindi hicho mapori tu 2008
 
Hakika vijana wawekeze kwenye ardhi.
Msumi 20*20 mil 6 hupati sasa viwanja vimepanda lami inayojengwa imepandisha sana ardhi.....iko 18-20mil sasa.
Makabe ndo kabisa huwezi kupata 20 kwa 20 kwa mil 6.kama mtu anacho kwa mil 6 naomba niwe mteja
Vp makabe huko lami imefika tayari msakuzi au

Ova
 
Daaa umenena kweli majuti ni mjukuu nakumbuka miaka hiyo wakati nasoma Tegeta high school eneo kama Cha Simba Boko,Mbweni teta,Madale viwanja vilikuwa mteremko sana ila sasa daa nikikumbuka nabaki nalia aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…