Usianzishe biashara wala kutafuta kazi kupitia waganga wa kienyeji

Okay.

Umesema jini ni kiumbe roho asietokana na binadamu na pepo ni kiumbe roho anaetokana na wafu na viumbe roho wengine ambao sio binadamu.

Je viumbe roho hao wengine ni wapi? Na je mapepo ina maana ndio mizimu?
Yeah mapepo yapo ya mizimu na yasitokana na mizimu.. Kuna variety kubwa mno ya viumbe hai kwenye makundi ya viumbe roho na viumbe roho na mwili..sio binadamu tuu , kuna wanyama nk
 
Yeah mapepo yapo ya mizimu na yasitokana na mizimu.. Kuna variety kubwa mno ya viumbe hai kwenye makundi ya viumbe roho na viumbe roho na mwili..sio binadamu tuu , kuna wanyama nk
Je inawezekana hao viumbe roho wa wanyama wakaingilia ulimwengu wa viumbe roho wa kibinadamu?

Na je ikiwa mimi sipo kwenye cycle ya viumbe roho vya aina hizo. Mafano sifanyi matambiko na rituals zozote za ku invoke viumbe roho hivyo. Pia sijawahi kuroga mtu wala uchawi siujui, sijawahi kwenda kwa mganga wala mambo ya wanga na ulozi sijawahi kushiriki.

Yani katika nyanja hiyo unaweza kusema mimi sipo kabisa. Je watu na viumbe roho vya ulimwengu huo vinaweza kunidhuru?
 
Mshana ni sawa na mwanamke, leo atasema ameokoka kesho atasema amerudi kilingeni, hajui anashikilia nini...

Ni mjinga, na nimefikia kuhisi huenda ni double agent, watu wa namna hii hawafai kufuata.

Hata hivyo kuishi katika dunia hii ni inahitaji unafiki mtupu, watu wajifanya kumkiri Mungu mbele ya watu ila mambo wayatendayo sirini ni hovyo kabisa.

Mshana uache unafiki, maana unafiki Ni asili ya wachawi...
 
Viumbe roho wanyama na binadamu wanaingiliana bila shida...tofauti yao ni yale majumba mwili wanayofaa yanayowatofautisha kwenye uhayawani na ufahamu wa kibinadamu

Nitaendelea nikitulia....
Matendo mema hukuandalia pepo na kukupa kinga na ulinzi madhubuti wa kiroho..
Dhana ya pepo na jehanum huanzia hapa.. Pepo yako haiko mbunguni iko pale kaburini, roho yako ikitulia pale inakuwa iko peponi, ILA ikikengeuka na kukutoroka hujeuka kuwa lipepo na mzimu wenye kutaabika na kunaswa na washirikina kupitia shetani.. Kuna baadhi ya mapepo ni mateka wa hawa watu
 
Viumbe roho wanyama na binadamu wanaingiliana bila shida...tofauti yao ni yale majumba mwili wanayofaa yanayowatofautisha kwenye uhayawani na ufahamu wa kibinadamu
 
Asante sana[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Atakuwa ni mchawi nayeye ila anatuzuga ili tupate taarifa zao, ndivyo walivyo wachawi.
 
Sawa mkuu
Matendo mema hukuandalia pepo na kukupa kinga na ulinzi madhubuti wa kiroho..
Dhana ya pepo na jehanum huanzia hapa.. Pepo yako haiko mbunguni iko pale kaburini, roho yako ikitulia pale inakuwa iko peponi, ILA ikikengeuka na kukutoroka hujeuka kuwa lipepo na mzimu wenye kutaabika na kunaswa na washirikina kupitia shetani.. Kuna baadhi ya mapepo ni mateka wa hawa watu
 
mkuu taarifa zako unazo mwenyew, ila ni jambo zuri unavyo zidi kutuelimish endelea na huo moyo wala usichoke ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…