Usichukulie poa, nyumba ni choo

Status
Not open for further replies.
ungechukua kanamba na kapicha wengine bado hawajampokea ujue [emoji848][emoji848]
 
ahsante sana kwa shuhuda kuna wengine hadi wasikie shuhuda kama hizi ndo wanaanza kuelewa unakuta mtu kaoa flat screen lakin nje ana mchepuko wa tv ya chogo sasa tabu yote ya nini[emoji848][emoji848]
 
Halafu hutu tudada tulionyimwa nyama hua tuna roho mbaya kwelikweli, halafu tunajiskia na tuna nyodo kama nini, halafu vingi vyao ni viselfish.
vinakuwaga na wivu hivyo balaa maana si ajiamin anajua muda wowote kambi itahamia upande wa pili
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…