Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Bwanawe acha tu mtoto alikuwa tight kimanzi😅 sampuli ni hizi hiziAtakua ni huyuView attachment 2091147
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwanawe acha tu mtoto alikuwa tight kimanzi😅 sampuli ni hizi hiziAtakua ni huyuView attachment 2091147
Hahahahalafu wana ile offa yao jaza ujazwe [emoji848][emoji848]
kumbe unageuka hiyo tu inatoshaBinafsi siwapendi akipita namwangalia tu anavyojibinua kama unavyoweza kumwangalia chatu anavuka barabara.
ana zuga huyoAu hujui jinsi ya kuianika kwenye kichanja?
usijali tuone kapicha kwanza unaweza ukawemo pia kuna wengine ni wembamba sio kimbaumbau ila na T.V ya chogo anayoYesuuuuuh.......,sasa sisi wembamba........sijui tutadondokea kweny mikono ya kina nani!!!!
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
ungechukua kanamba na kapicha wengine bado hawajampokea ujue [emoji848][emoji848]Aisee jana nimekula coaster na dada mmoja anaonesha ni aged ila ana body amazing sana yani! Yuko late 30’s kama si early 40’s ila ana kashepu yani sio mnene ila ana hips na tako flani la kichokozi height ipo pia.
Ya wastan yani kapiga skin jeans na ka tshirt tight na miwani yake dah af ana urasta hivi kama dread nimemuelewa kichizi ila dah! Njoo vile bana nimempokea Yesu sikuhizi[emoji28]
ahsante sana kwa shuhuda kuna wengine hadi wasikie shuhuda kama hizi ndo wanaanza kuelewa unakuta mtu kaoa flat screen lakin nje ana mchepuko wa tv ya chogo sasa tabu yote ya nini[emoji848][emoji848]Hii dhana imefanya wengi waoe wake wasiowapenda na waneishia kuwasalti tu yaani anakuwa kama kaleta house maid nyumbani,kuwa na tako kwa mwanamke siyo kielelezo cha ubovu wa tabia ya mwanamke,mke niliyeoa mara ya kwanza alikuwa wa kawaida tu flat screen tu,asili ya kaskazini lakini alikuwa na matatizo lukuki,nilikama sms za washikaji mara kadhaa baada ya miaka minne niliona hatutafika tuendako nikasitisha mkataba maana changamoto zilikuwa nyingi kuliko amani na furaha ya ndoa.
Nikapata binti mmoja wa kanda ya ziwa,yule mwanamke amejaariwa maji ya kunde,sura nzuri ya kinyarwanda na umbo moja amazing sana yaani tumbo dogo halafu hapo chini ni 8 ya kuona.
Nilimpenda sana na yeye alinielewa sana,mpaka naandika hapa leo mwaka wa 9 tunaishi kwa amani na upendo utafikiri tumeoana jana,watoto wawili hawajawahi kumpunguzia urembo wake yuko vilevile.
Ana tabia njema kuliko maelezo,sasa nikiona hizi dhana zenu za kwamba "wife material.... naishia kucheka tu.
Halafu ndiyo mtu anasema yeye hapendi hizi mambo[emoji848][emoji848]tupunguze urongoAtakua ni huyuView attachment 2091147
vinakuwaga na wivu hivyo balaa maana si ajiamin anajua muda wowote kambi itahamia upande wa piliHalafu hutu tudada tulionyimwa nyama hua tuna roho mbaya kwelikweli, halafu tunajiskia na tuna nyodo kama nini, halafu vingi vyao ni viselfish.
well said [emoji122][emoji122]Ukweli mtupu..vina defensive mechanism zidi ya inferiority yao.
#MaendeleoHayanaChama
Usisahau kuomba na yakutolea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana ndio tumchezo twenu.
umesahau na kuigiza sauti[emoji848][emoji848]Umepiga mule mule, you're a psychologist for sure! Vinapenda kujiremba hatari, makeups n.k, kifupi vinapenda urembo sana, vikatili mno!
Halafu ukitukorofisha hatuchelewi kurusha chupa[emoji23][emoji23][emoji23]umesahau na kuigiza sauti[emoji848][emoji848]
Pia tumtu twa hivi tunakuaga na roho ya kwanini.vinakuwaga na wivu hivyo balaa maana si ajiamin anajua muda wowote kambi itahamia upande wa pili
Sasa mim ni flat pasi ikasomeusijali tuone kapicha kwanza unaweza ukawemo pia kuna wengine ni wembamba sio kimbaumbau ila na T.V ya chogo anayo
Wanajifanyisha tu kua hawapendi,Halafu ndiyo mtu anasema yeye hapendi hizi mambo[emoji848][emoji848]tupunguze urongo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ye mwenyewe anajua ya kutolea ni lazimaUsisahau kuomba na yakutolea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana ndio tumchezo twenu.
hao ngumi mkononi saa yoyoteHalafu ukitukorofisha hatuchelewi kurusha chupa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787]Wanajifanyisha tu kua hawapendi,
Sasa unaachaje kupenda kitu kizuri kama hiki kama sio unafki. View attachment 2091586
Mambo yako ni haya mkuuSura nzuri, tako wastani, mguu, kimo na mwisho sauti nzuri, mengine ni ya ziada tu na unaweza kuyavumilia.