Usichukulie poa, nyumba ni choo

Status
Not open for further replies.
Yesuuuuuh.......,sasa sisi wembamba........sijui tutadondokea kweny mikono ya kina nani!!!!

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Pia ni self defence..
Mtaani kwetu mwanamke bila kalio kubwa hata nyumba ya kupangisha hupati hata ulipe kodi miaka yote uliyobaki nayo hupati ng"o
Aisee jana nimekula coaster na dada mmoja anaonesha ni aged ila ana body amazing sana yani! Yuko late 30’s kama si early 40’s ila ana kashepu yani sio mnene ila ana hips na tako flani la kichokozi height ipo pia.

Ya wastan yani kapiga skin jeans na ka tshirt tight na miwani yake dah af ana urasta hivi kama dread nimemuelewa kichizi ila dah! Njoo vile bana nimempokea Yesu sikuhizi😅
 
Atakua ni huyu
 
labda kama sio mpare. [emoji23]View attachment 2090617
Hii dhana imefanya wengi waoe wake wasiowapenda na waneishia kuwasalti tu yaani anakuwa kama kaleta house maid nyumbani,kuwa na tako kwa mwanamke siyo kielelezo cha ubovu wa tabia ya mwanamke,mke niliyeoa mara ya kwanza alikuwa wa kawaida tu flat screen tu,asili ya kaskazini lakini alikuwa na matatizo lukuki,nilikama sms za washikaji mara kadhaa baada ya miaka minne niliona hatutafika tuendako nikasitisha mkataba maana changamoto zilikuwa nyingi kuliko amani na furaha ya ndoa.

Nikapata binti mmoja wa kanda ya ziwa,yule mwanamke amejaariwa maji ya kunde,sura nzuri ya kinyarwanda na umbo moja amazing sana yaani tumbo dogo halafu hapo chini ni 8 ya kuona.
Nilimpenda sana na yeye alinielewa sana,mpaka naandika hapa leo mwaka wa 9 tunaishi kwa amani na upendo utafikiri tumeoana jana,watoto wawili hawajawahi kumpunguzia urembo wake yuko vilevile.
Ana tabia njema kuliko maelezo,sasa nikiona hizi dhana zenu za kwamba "wife material.... naishia kucheka tu.
 
Halafu hutu tudada tulionyimwa nyama hua tuna roho mbaya kwelikweli, halafu tunajiskia na tuna nyodo kama nini, halafu vingi vyao ni viselfish.
 
🙏🙏.Usimwache YESU kwa vitu vya kupita
 
Legends
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…