Usidanganyike! Sex meditation ni ibada za kishetani

Duuu hukusisimkwa?
 
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Thanks kwa ufafanuzi huu umenisaidia pakubwa thats why i love JF
 
daah...leo ndio nimegundua kwamba nina bichwa gumu, nimesoma comment moja baada ya jingine lakini sijaelewa maana ya sex meditation!!!
mashite type!!
 
daah...leo ndio nimegundua kwamba nina bichwa gumu, nimesoma comment moja baada ya jingine lakini sijaelewa maana ya sex meditation!!!
mashite type!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]jamani naomba tutembeleane hatuko mbali kwasasa
 
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nijibu basi,unapotaka kuingia kwenye lucid sexual dream yani utafeel ole pleasure si ndiyo,sasa hapo hakuna uwezekano wa kufanya ngono na majini?
 
Nijibu basi,unapotaka kuingia kwenye lucid sexual dream yani utafeel ole pleasure si ndiyo,sasa hapo hakuna uwezekano wa kufanya ngono na majini?
Unapofikia hapo lolote laweza kutokea japo majini yana jinsi zake za kufanya yao, hayaongozwi na mihemko
 
Hapa Tanzania inafanyika mikoa gani...nataka niende huko nikajifunze
 
Cjaelewa kabisa. Nimerudia rudia lkn nimetoka kibashite!!!
 
Kwa heri nimetoka koromij nikafikia pamba sec. sasa nina bashite sijaelewa kabisaaaaaaa
 
Mm nataka nielekezwe namna yakufanyaiyo mambo kwa afya.
 


mkeo unasex nae au unamake love nae?
 
Ukitaka kujua tofauti, nitukane mimi tusi KUBWA SANA halafu umtukane na Mheshimiwa President JPM tusi HILO HILO halafu uone matokeo yake yatakavyokuwa tofauti.
 
badala nijifunze kwa somo hili, najikuta natamani izi picha. mkuu ama ndo sex meditation yenyewe nashiriki bila kujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…