Usidanganyike! Sex meditation ni ibada za kishetani

Hatareeee na asante kwa kuelezea hilo.
 
Duuu vice ni noma
 
Mh tiba wapi mkuu huko ni kugegedana tu mwisho wake
 
Mkuu mshana kwa nini usianzishe center ya kufundisha namna ya kumeditate??? maana unagusia mambo yanayoamsha hisia za wengi kuwa na shauku ya kutaka kumeditate. Binaadamu tuna kawaida ya kutaka kujaribu jaribu na meditation without a guider inaweza kumlelekea aspirant matatizo mbalimbali hususan mentally and physically...
 
Dirham napenda mno kufanya hata vipindi kwenye luninga lakini muda unabana
 
Baada ya kuona hizo alama usomi kwa waislamu ndiyo ukafananisha na hayo mengine bila kujua hizo sijda zinatokana namimi? Je na miguuni pia hua tunajiwekea alama?

kwa kukusaidia alama hizo hawaweki wenyewe kama ulivyofikiria wewe.
 
Dirham napenda mno kufanya hata vipindi kwenye luninga lakini muda unabana
Jitahidi mkuu maana nimekuwa nikipitia sana post zako na comment za baadhi ya wadau zinaonyesha wanahitaji hii kitu meditation.
Jipange mkuu kila kitu kinawezekana.Utoe yale madini ya kibudhist ukichanganya na mambo ya Swami Satyananda Saraswati or mzee wa Jnana Yoga wanamuita Swami Vivekananda.
 
Dah umenikumbusha hii
Hare kshna, hare kshna
Kshna hare hare
Hare rama hare rama, rama rama hare hare
 
Dah umenikumbusha hii
Hare kshna, hare kshna
Kshna hare hare
Hare rama hare rama, rama rama hare hare
"harer nama harer nama harer namaiva kevalam kalau nasty eva nasti eva nasti eva gatir anyatha”
 
 
Kwa Siku unafanya/ unaenda meditation Mara ngap???
Unalala masaa mangapi kwa siku? Niwie radhi kama yatakuwa hayajibiki!
Meditation nafanya kabla ya kulala ama alfajiri, nalala masaa sita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…