Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Mmh kijana una Mambo wewe!yaani unasumbua waheshimiwa sio?😂😂😂Hiii inanipa Amani sana, hawanisumbui, badala yake wao ndo wanasumbuka kunituliza.
Sasa Kuna watatu hao nafasi zao zakazi nizile zakuchaguliwa , wawili kuchaguliwa na Samia...Mmoja kuchaguliwa na Wananchi.
Ninavyowapelekesha, wanavyoliaaa ,yaan unakuta mtu anapambana sana nitulie naye ,, basi unakuta wananifanyia mambo makubwaaaaa Et mradi nitulie jaman khaaaaa
Namm hata sielewi