Usifanye hili kosa unaposalitiwa na Mkeo/Mwanamke wako

Sio mwanamke tu, mimi me akinisaliti na nikawa na evidence nakuacha. Ile picha huwa haiishi kichwani.
 
Nilizikuta sms za mapendo kwenye simu ya yfull ,nikaamuuliza nini hii? Akaanza kujikanyagakanyaga ,nikasema isiwe shida,Nikamwambia kuanzia leo hii mpaka milele sitokula tunda kavukavu nitakuwa navaa condom watoto wawili tulionao wanatutosha,na Kama hata hawa watoto sio wangu wapeleke kwa huyo baba yao.
Nilianza kuvaa condom , baada ya mwezi mmoja tu akaenda kwao mwaka wa tatu sasa,kazalishwa huko namimi nimeoa mke mwingine.
 
Wewe kweli pilato
 
Hongera sana Mkuu, Maamuzi ya aina hii, humuacha Mwanaume salama salimini bila hata Moyo kuuma.


Bila shaka huko aliko anajuta.

Maana ni wazi ,atakua alizalishwa na hajaolewa Tena
 
kupambana na mwanaume mwenzako kisa kamla mkeo ni u-kuku na u-juha labda awe kabakwa au mwanaume awe mtu wako au mnayefahamiana vizuri na anajua vizuri mahusiano yenu napo sitachukua action kuubwa sababu inawezekana mwanamke mwenyewe kataka awekwe...Mwanaume kutongoza ni asili yake mwanamke kukubali au kukataa ni hiyari, Wanawake ni wengi sana na wa mivuto mbalimbali akizingua unatoa unaendelea kupata mibususu mingine.
 
Mwanamke mchepukaji Ni wa hovyo Sana kudadeki!
Huwa najiuliza Hawa wanawake walio kwenye ndoa ujasiri wa kuchepuka huwaga wanaupata wapi jamani🤔
 
Eti jamani!
 
Nani kakudanganya eti wanaume Ni wengi kuliko wanawake?

Mungu alikusudia kuwaumba wanawake Ili sisi wanaume tuwe na Uhuru wa kuchagua.
 
Hii ndio akili. Mbususu zimejaa mtaani wee ni hela yako tuu
 
Hongera sana Mkuu, Maamuzi ya aina hii, humuacha Mwanaume salama salimini bila hata Moyo kuuma.


Bila shaka huko aliko anajuta.

Maana ni wazi ,atakua alizalishwa na hajaolewa Tena
Ni wapumbavu Sana udanganywa na kuharibu ndoa zao then wakishaachika na majamaa nao ukatika ukosa mume na michepuko,then uishia kuyumba kimaisha wanakuja jitambua wakiwa hawana mbele wala nyuma mda ushaenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…