Nakubaliana nawee kuna wanawake manunda sana .
Ila kiasili, mpaka mwanamke awe nauwezo wakuhimil hayo, basi huyo ni konkiii !!!.
Wahivo , NAKUFUNGASHIA VILAGO UENDE KWENU, UENDE KUPANGA N.J UTAJUA MWENYEWE UKACHEPUKE HUKOHUKO.
Labda km unazungumzia Kanamume, kanakoabudu Papuchi na bado kalikupata kakaona kama kamekupata kwa bahati nasibu tu.
Kwa ufupi, kanaume, kadogooo, kaogaa, kanalialia, kabebibebi, kanasauti yakike, kanamiko lainiii, kanabadilisha boksa mara mbili kwa siku, kanajifanya kanamapenzi ya dhatiiii, kajingaaa, Bila shaka katakua Kahehe[emoji23][emoji23][emoji23]