Usije Dar Es Salaam niagize hasa hasa soko Posta na Kariakoo, kwa uaminifu mkubwa sana

Samahani ofisi zako ziko wapi?,maana yangu ni kwamba ikitokea haupo mbadala wako ni Nani?
 
Tumepigwa sana mkuu na kuchoma mitaji kiboya. Bond yako ni nini kama lolote likitokea.
 
Tumepigwa sana mkuu na kuchoma mitaji kiboya. Bond yako ni nini kama lolote likitokea.
Ndugu yangu toka nibandike hilo bandiko humu ndani nimefanya kazi watu waziozidi 30

Lakin kati hao kama yupo ambaye nimemzurumu bas alete ushuhuda
 
Asanten sana wana jukwaa ambao mnaendelea kuniunga mkono

Asanten sana
 
Ada yako bei gani
Sina ada kaka yangu bali inategemea na mzigo wako lakin pia na wewe utanifikilia kwa kiasi gani

Maana mwingine anaagiza kitu cha elf 50 tu so huwezi kumuomba elf 20 yeye mwenyewe atafikiria akupe sh ngapi huenda elf kumi

Lakin mwingine anaagiza mzigo wa laki tano huyo hawezi kukupa elf kumi lazima atakupa kuanzia elf ishilini na kuendelea

So inategemeana na mzigo kuwa huru nipe kazi mtumish
 
Sijawahi ingia mitini ndugu yangu na haitatokea kwa jina la YESU KRISTO
Unaweza unanitumia mzigo ukifika tu ndio nilipe gharama za mzigo na za kwako, nahitaji nione Kama huyo Yesu kweli unaamaanisha ivyo, namie siwezi kukimbia
 
Unaweza unanitumia mzigo ukifika tu ndio nilipe gharama za mzigo na za kwako, nahitaji nione Kama huyo Yesu kweli unaamaanisha ivyo, namie siwezi kukimbia
Shida inakuja kwamba hii mizigo tunaichukua kwenye maduka ya watu mtumish
 
Ondoa mashaka mama ndo maana nimeweka namba yangu hapo

Laiti ungejua uaminifu wangu
Na yeye Ataweka namba yake kwani shida ni namba yu, namie Kuna ishu nahitaji uninunulie nikipata tu Niko Mwanza nakutumia hela,niamini na Mimi ni mwaminifu mno sijawahi kudhulumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…