Live wewe hujaona Show zetu za live hakuna Playback hujaona Sauti za Busara watu wanapiga performance live na vyombo au hujaona Ile Show ya ShoroMwamba anawaokotesha nyasi wazungu kule ujeruman hio pia utasema hujaona?Show zetu ni za kiwaki ππ€£π€£, live peformer ni wa kuhesabu.
Hapo utakua unamsema sinza pazuri sio vingine au nasema UONGO Zombie S2KIZZY ?Diamond Platnumz is like "Nakulaa kwa machooo.... kwa machooo"
View: https://youtu.be/oZS3fekWNOM?si=QHG73bGEBarFChDU
Kibongo bongo live performance labda kina, harmonize ana Jitahidi, barnaba, ruby.Live wewe hujaona Show zetu za live hakuna Playback hujaona Sauti za Busara watu wanapiga performance live na vyombo au hujaona Ile Show ya ShoroMwamba anawaokotesha nyasi wazungu kule ujeruman hio pia utasema hujaona?
Mbona Mondi hujamtaja hapo unataka kusema ana Show mbovu? We jamaa wa wapi yaan unamtaja mpaka Hormonize Ila Mondi humtaji kwani hujaona Show zake?Kibongo bongo live performance labda kina, harmonize ana Jitahidi, barnaba, ruby.
πHaya hapo Kenya tu sauti Sol Wana tukimbizaππ€£
Nyani Ngabu na Kiranga kwenye upande wa tasniaabya mziki.Mbona Mondi hujamtaja hapo unataka kusema ana Show mbovu? We jamaa wa wapi yaan unamtaja mpaka Hormonize Ila Mondi humtaji kwani hujaona Show zake?
Ngoja waje kushuhudiaNyani Ngabu na Kiranga kwenye upande wa tasniaabya mziki.
Je show zetu tuna weza shindana na wa naigeria, au ndo tuna sogeza mda mbele??
Muziki, burudani, michezo ni function ya uchumi.Nyani Ngabu na Kiranga kwenye upande wa tasniaabya mziki.
Je show zetu tuna weza shindana na wa naigeria, au ndo tuna sogeza mda mbele??
Asante mkuu, kuhusu connection na uchumi wako vizuri mno.Muziki, burudani, michezo ni function ya uchumi.
Tengeneza uchumi, huko kwingine kutakaa vizuri tu.
Wa Nigeria wana network kubwa, connections nyingi, uchumi mkubwa, exposure zaidi, hustle culture zaidi, lakini kwenye talent hawajatuzidi hivyo.
Tatizo na sisi hata baada ya ku punch above our weight sasa hivi tunageza sana Wa Nigeria.
Huwezi kushindana na mtu aliyeanzisha kitu halafu weee ukawa unamgeza.
Atakushinda hata kwa uzoefu zaidi na authenticity tu.
Nani sasa ??Kuna mtu kasahaulika?
Ukishaona star wetu anajiita Dangote, wakati wao wana Dangote wa ukweli, ujue tuna tatizo kubwa mpaka hapo.Asante mkuu, kuhusu connection na uchumi wako vizuri mno.
Msanii ana andaliwa mapema, Nyimbo Zina chaguliwa mapema.
Best producer na director wana tafutwa.
Sisi tuna unga unga mno, consistency Hakuna kabisa.
Mtu ana perform vizuri Mwaka huu, una fata ana haribu au kufanya kwa mazoea.
Natumai stow away Ume elewa
Hakuna hela mkuu, sema Grammy Ina ku boost ki aina.HIVI MSHINDI WA TUZO YA GRAMMY ANABEBA TSH NGAPI? AU HIYO TUZO ANAYOPEWA INA THAMANI YA TSH NGAPI?
Kwamba sisi tuna ishi ndoto, Afu wao wapo kwenye uhalisiaUkishaona star wetu anajiita Dangote, wakati wao wana Dangote wa ukweli, ujue tuna tatizo kubwa mpaka hapo.
Nasikia genre ya Soukos Ile ya kanda bongoman waanzilishi ni wabongo Ila ilichotwa ikapelekwa Congo, Sisi hapa tuna vigoma vinaitwa Kibao Kata vile vinapigwa kwenye Magari wale wadada wanachezesha makalio kwenye Coaster Ila Sisi ubaya hatupendi vya kwetu, Singeli imepigwa Vita weee mpaka siku hio nikashangaa kwenye redio kuna Mhindi mmoja anasema Muziki wa Bongo ambao haupo popote ni huu wa Singeli kibao kata midundo yake IPO hapa hapa TU maana Ile midundo ya kibao Kata ni mchanganyo wa madufu fulani na vigoma amazing sasa ikibuniwa midundo yetu mboni hao jamaa tinawaondoa kwenye reli kabisa, issue iliyopo ni waandaaji Muziki kubuni midundo ambayo ni unique kwetu tuMuziki, burudani, michezo ni function ya uchumi.
Tengeneza uchumi, huko kwingine kutakaa vizuri tu.
Wa Nigeria wana network kubwa, connections nyingi, uchumi mkubwa, exposure zaidi, hustle culture zaidi, lakini kwenye talent hawajatuzidi hivyo.
Tatizo na sisi hata baada ya ku punch above our weight sasa hivi tunageza sana Wa Nigeria.
Huwezi kushindana na mtu aliyeanzisha kitu halafu weee ukawa unamgeza.
Atakushinda hata kwa uzoefu zaidi na authenticity tu.