Usimdharau mtu, jifunze kupitia Historia ya maisha ya Kevin de Bruyne



Swala kukosolewa uandishi mbovu linawafanya watu wengi(mimi nikiwemo) kutoandika story zetu hapa Jf.
Mimi nimesoma tu sikujua kuna wengine mnacheki hadi mwandiko.

Nb: Dunia ni katili sana,tena sana.
kuwa na history yenye taswila kama ya KEVIN hakukupi uhakika ya kuwa siku moja life yako itachenji..mamlioni ya watu wenye history ya kama ya Kevin ukutwa na umauti wakiwa na maumivu yale yale ya toka mwanzo.
Naongea kupitia uzoefu binafsi.
 
Swala kukosolewa uandishi mbovu linawafanya watu wengi(mimi nikiwemo) kutoandika story zetu hapa Jf.
Mimi nimesoma tu sikujua kuna wengine mnacheki hadi mwandiko.
Kaka hata mi nime hoji, mbona uandishi uko poa tu.
👉Hata arrangement iko gud, sija just watu Wana taka tuandike kwa kutumia ai Sasa😃🤒
 
Mafanikio yanaleta maana hasa pale unapovishinda vikwazo the guy kelvin hana ile personal grow. Mentally kukataliwa jambo la kawaida hata harmonize pale Bss aliambiwa hajui kuimba so ukikataliwa haimaniishi haujui Ila ni sehemu ya ukuaji mentally na emotionally
 
Mkuu, mheshimu sana mtu anayekukosoa waziwazi tena kwa nia nzuri kama nilivyofanya hapo.
Binafsi, huwa nakosolewa na mpenzi wangu ktk uandishi wangu... yeye ana taaluma ya habari na huwa nakubaliana nae vya kurekebisha narekebisha.
Sisemi kwamba mimi ni bora sana, ila nimeimarika kwa kuzingatia ninavyoambiwa.

Kuhusu Kevin, nami kidogo nimtende mtoto wa mtu hivyo ila nilibadili uamuzi na kurudi ingali mapema.
Pole.
 
inavutia
 
hujui mpira wewe yan ww inaonekana upo kishabiki san
 
Safi sana.....the bold hajambo?
 
I mean no malice to nobody, tulieni jamani
 
Uandishi km wa Manara.
 
hiv unaeza jitafuta kimaisha pasipokuw na kampenz pembeni upunguze maji kwenye kibobo!?hata mtu anaeza chini lazima awe na kapumziko chake

yan kifup mahusiano ni part ya maisha labd ungesema unashaur vijana wakijitafuta tupunguze starehe/gharama zisizokuwa na ulazima japo ningekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…