Usimdharau mtu, jifunze kupitia Historia ya maisha ya Kevin de Bruyne

CHAI
 
Huu ni ukwel ambao tuna amua kuu ignore ili tusikate tamaa.. better die trying mengine yabaki matokeo tu
 
Ina wezekana, ila mabinti Wana paswa kuji funza kuwa wastahimilivu.
[emoji117]Kuto kuwa na tamaa za mbwa
Shida ya wengi wenu huwa mnawaacha wanawake zenu wa zamani kipindi mmepigika mnaenda kutafuta wanawake wapya ambao ndio huwa mnaamini ni wa hadhi mnayoitaka baada ya kuanza kushika pesa, na ndio sababu wanawake wengi huwa wanajikataa mapema mahala ambapo wanaona hawapaelewi.
 
Upo sahihi ana meander around the bush kuna issue anaiongelea anarudi tena para inayofuata anaiongelea tena.
 

Andika vizuri aisee halafu pangilia uende mbele urudi nyuma!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ