Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #101
Madam moja ya tabia niliyo nato, I always sticky with the same people.Shida ya wengi wenu huwa mnawaacha wanawake zenu wa zamani kipindi mmepigika mnaenda kutafuta wanawake wapya ambao ndio huwa mnaamini ni wa hadhi mnayoitaka baada ya kuanza kushika pesa, na ndio sababu wanawake wengi huwa wanajikataa mapema mahala ambapo wanaona hawapaelewi.
Jamaniπππ€Wewe unajua, hicho ndicho alichopungukiwa, na hata uandishi kwa lugha fasaha pia ni tatizo.
Naku zingua tu Kaka, u know mean no malice to nobody ππͺSema kwel mwanangu, mi mbona niko cool tu mpaka mtu ajichanganye!!
sawa zuhura nime kuelewaCHAI
Labda don yenTajiri huna baya ππ, wewe na don mwenzio Half american.
πPlus mropokaji wa kirusi Ivan Stepanov ππ
Sawa Amber Ruttysawa zuhura nime kuelewa
Usimchukulie powa ππ sio KATAA NDOA mwenzetu mtu mzima huyoOya Mpaji Mungu niki muita huyu Jamaa Ivan Stepanov mropokaji wa kirusi nakosea ππ
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji3]but why lucas mwashwambwaaaHuenda bila kuachwa angebweteka na asingekuwa na machungu ya kufanikiwa km aliyonayo sasa. cc: Lucas Mwoshambwa usikate tamaa kuimba mapambio. Huenda siku moja ukagawiwa kijiko cha asali ulambe
Kwa sababu Lucas Mwoshambwa anateseka sana. Kiufupi jamaa anausaka uteuzi kwa nguvu sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji3]but why lucas mwashwambwaaa
Lucas mwashambwa ni chawa aliye bobeaππ[emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji3]but why lucas mwashwambwaaa
Ivan Stepanov ni tajiri mkubwa, acha kuni chonganisha naeππ€Usimchukulie powa ππ sio KATAA NDOA mwenzetu mtu mzima huyo
Kisasi hushusha Mzigo kifuaniKwenye maisha ukitaka kuishi kwa raha epuka mashindano na epuka kulipiza kisasi
Kuwa mtu wa shukurani na kusamehe.
Mkuu mbona unanitenga..hiv utu uzima ni miaka mingapi maana hata 35 ndio kwaanza bado naifukuzia πUsimchukulie powa ππ sio KATAA NDOA mwenzetu mtu mzima huyo
Namjua huyo kijana Kuna mda plagi hazichomi asije akaharibu maana generation Z hawaMkuu mbona unanitenga..hiv utu uzima ni miaka mingapi maana hata 35 ndio kwaanza bado naifukuzia π
Ahahah..we kaa kinyonge tu ile kwako, jukwaan hapa JF kila mtu ana ka profile kake.. halaf kuna kale profile ka wote ka u great thinker..kila mtu sio mchovu..Na toka lini GT uwe mnyonge mnyonge?ππIvan Stepanov ni tajiri mkubwa, acha kuni chonganisha naeππ€
Huyu achana nae .kuna hati yake ya kutafutwa pale MilembeNamjua huyo kijana Kuna mda plagi hazichomi asije akaharibu maana generation Z hawa