Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,489
- 4,253
Demi Kwanini ukumbini wakati bibi harusi anawapelekea keki wakwe zake anapiga magoti? Je, ushawahi kuona mwanaume akifanya hivyo?Mafemisnist tupo..
Lakini pia suala la kumpigia goti mwanaume wakati anakuvisha pete ni mila ya wapi?
Tumecopy huko western halafu tunataka kuibadilisha mwanamke apige goti. Process ya kuchumbia kila mila ina taratibu zake. Haya mambo ya kuvishana pete yameanza juzi juzi tu hapa.
Mila ya wanawake kuwapigia magoti waume zao ni kuonyesha kutii mamlaka ya kichwa cha familia! Ila kwenu mafeminist mtapinga maana kwenu Hakuna kichwa cha familia. Kuna vichwa viwili 😀