masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
- Thread starter
-
- #81
sikufichi ela anazo na pia ni ile type ya AjAngalia hata mada yake alipofikia upande wa pesa, afu ndo huyu ety anasema Hawez kuliwa nje π
Akili za wanawake bhana π
Dogo ana mguu mmoja na anavuta bangi lakini mwanamke anaemla mpaka nilishangaachiba unamaanisha niniπ€£π€£π€£π€£
ila una dhambi wewe
kwani kilq mahali pana ulemavu?
Mbona kawaida hy mkuu, humu wanalombwa vzr tuu, ww andika mada kama za yule jamaa wa Singapore soon unawalomba hata huyu mtoa mada unalomba freshBhanaa weee nishakwambia sina I'd fake, ila kuna mtu humu ni mwanangu sana aliniambia alimla member humu sikuamini.....
Leta ngonjera tuu, Ila unalika poa tuusikufichi ela anazo na pia ni ile type ya Aj
yaani 10/10
yaani vitu vyangu
soma hadi mwisho hapo
mimi siwez tu ishi na guilty ya kucheat ...
ni kweli hata mume wangu nilikubal anioe maana pia ela anazo
nimetoka kaskazini bro.... watoto wangu hawatakula mapenzi
Ah sasa mmeo asipost picha kwani mbaya π€£π€£π€£ mie mrembo wangu wacha apost bwana na gym aend. Mambo ya mkeo kutombwa mbona sio kitu cha kumind kabisa. Kidume na wewe sii unadinya warembo huko nje....mambo gani kupangiana matumizi ya sehemu za siri za mkeo au mumeoKuna mtu alishaandika hivyo humu si muda mrefu.
Kwa kweli na mimi leo nakiri...
Yote hayo kwenye heading nayafanya, na nimefikia kwenye conclusion kwamba... it's very hard kunyooka.
Cha kwanza, sitaongelea gym, ila nazungumzia suala la kupost.
Binafsi sikuwa na profile yoyote yenye jina langu wala picha zangu popote pale kwenye social media (hadi sasa sina jina langu kwenye social media). Nina account za biashara tu.
So this year nilifungua account ila kwa jina la aka ya utotoni.
Napost tu picha zangu kwa ajili ya kumbukumbu.
Napata DM, ila hazishtui, nazignore tu.
Jamani leo nimepata DM moja hivi...
Duuuh, mpaka sasa nashindwa kujicontain aisee.
Mkaka amenyooka, yaani 10/10.
Halafu ni mmoja wa big boys Africa.
Ila ni Mtanzania.
Kwa kweli sikuwahi kumjua... I'm not so much into social media zaidi ya JF.
Ikabidi nimcheki, deep search huko Google...
Mamaaa! A-list kabisa.
Cha mwisho kabisa...
Ana hela.
Kwa anachofanya sikuwahi tu kumjua.
Please, there is always a bigger fish...
Hata mkeo umfanyie nini, honga uwezavyo, kuna mtu atakuzidia sehemu.
Hata kama mkeo kanyooka vipi, vitu vingine vinakukuta tu.
Nashukuru Mungu nilishasema siwezi kuishi na guilty ya kucheat.
Bora ugali dagaa kwenye amani.
Kwanza wakaka kama hawa wanacheat sana π€£π€£π€£π€£
Unavyomsifia haki ya nani unaenda kuanguka dhambinisikufichi ela anazo na pia ni ile type ya Aj
yaani 10/10
yaani vitu vyangu
soma hadi mwisho hapo
mimi siwez tu ishi na guilty ya kucheat ...
ni kweli hata mume wangu nilikubal anioe maana pia ela anazo
nimetoka kaskazini bro.... watoto wangu hawatakula mapenzi
Weka humu ποΈtangu nimeolewa 10 yrs ago plus uchumba namjua tu mume wangu
hapanaUnavyomsifia haki ya nani unaenda kuanguka dhambini
jesussss!!!!Ah sasa mmeo asipost picha kwani mbaya π€£π€£π€£ mie mrembo wangu wacha apost bwana na gym aend. Mambo ya mkeo kutombwa mbona sio kitu cha kumind kabisa. Kidume na wewe sii unadinya warembo huko nje....mambo gani kupangiana matumizi ya sehemu za siri za mkeo au mumeo
Ishaisha hiyo aisee na atampelelekea kabisa haya mambo bhΓ na ni irresistibleLeta ngonjera tuu, Ila unalika poa tuu
hii haina comebackπ€£π€£π€£π€£π€£Ah sasa mmeo asipost picha kwani mbaya π€£π€£π€£ mie mrembo wangu wacha apost bwana na gym aend. Mambo ya mkeo kutombwa mbona sio kitu cha kumind kabisa. Kidume na wewe sii unadinya warembo huko nje....mambo gani kupangiana matumizi ya sehemu za siri za mkeo au mumeo
Anatuvimbia na fake ID yake hapa, Utadhani sio hawa hawa tunaoishi nao mtaani πIshaisha hiyo aisee na atampelelekea kabisa haya mambo bhΓ na ni irresistible
Upe moyo unachotaka kama dhambi hapa ushaipata, hada Hawa (Eva) alilitamani tunda kabla ya kulichuma na kulikula. Halafu uje ulete mrejesho kwa mabahariahapana
japo ni ngumu
lakini kwa hili napita kama naaga maitiπ€£π€£π€£π€£
But seriously...kwelinunadhani mkeo hatakuja kuchepuka...huko ni asking blood from stone.hii haina comebackπ€£π€£π€£π€£π€£
Bhanaaaa weeee ningekuwa na I'd ingine ningeropoka tuuu π€£Anatuvimbia na fake ID yake hapa, Utadhani sio hawa hawa tunaoishi nao mtaani π
Kama una content unaogopa kuitoa inipe niimwage mwnyw πBhanaaaa weeee ningekuwa na I'd ingine ningeropoka tuuu π€£
Watu sio watoto wadogo humu
Haina sababu Kijana, lakini kuletewa maigizo wakurungwa hatupendi na tunazungumza kibaharia tu.Kama una content unaogopa kuitoa inipe niimwage mwnyw π
Hii inaukweli aslimia 100 %Mwanamke yeyote analika, n suala la muda tuu