Usimruhusu mkeo apost insta picha zake wala aende Gym

Natofautiana na wewe mkuu

Zaidi ya 90% ya wanawake ninao wajua mimi kibaruani wana michepuko yao nje ya ndoa zao na maisha yanakwenda kama kawaida kwenye ndoa zao

Kunacho kuja kutatiza huwa sio kucheat tu bali baada ya kucheat anapagawa vipi hadi kuathiri mahusiano na mumewe

Ni heri sana kupata mwanamke mwenye akili ya kujitambua……. Anaweza akawa na michepuki mitatu na mume akaamini mke wake ni MWAMINIFI MNO

Tatizo kubwa la kucheat ni pale inapokuja kugundulika na mume…… hapa inakuaga utata sana

Asili ya binadamu haikua NDOA, ndio zilikuja ili kupunguza migogoro ya kupata access ya ngono peke yako kwa mwanamke.
 
Mbona sku hizi ishakuwa tu kama fashion hasa ma single mother ndo hatari na vijisababu vyenu vya uongo na kweli
 
Watu migodini hiyo hela ya soda, kuna mademu wanakatiwa ndege go and return wanawekewa dau wengine 20m+.Migodini huko kuna watu wanahela hawajui wazifanyie nini.
Nimezaliwa geita nafahamu hayo mambo, ila nawao Huwa wana fulia, ACHA TU vijana walikua wanapiga mishindo, wanakimbilia crown, alteza harrier nk shida badae wanafilisika yani huruma tupu, walioweza kumaintain pesa za migodini wachache sana, zamani enzi za jakaya kikwete, ilikua Bata sana ila siku hizi mhhh
 
Kana zuga tu
 
Aah familia za tangu 29 oct Extrovert
 
Demu ukimpa Uhuru mwing tegemewa kugongewa randomly 🀣🀣
nina njia zangu za kumkabili uyu msenge Hadi

anasema nizalishe basi nitulie km unaniona Malaya😁😁
Mmekutana pipa na mfuniko, wote vichwa maji.
 
Hata mkeo umfanyie nini, honga uwezavyo, kuna mtu atakuzidia sehemu.

Hata kama mkeo kanyooka vipi, vitu vingine vinakukuta tu.
Sasa wewe umewezaje kushinda hili na wengine washindwe? Unasema hakuna mwanamke anayeweza kukwepa kutembea na mwanaume mwenye pesa, ukamalizia ulishajiapisha hutofanya hivyo!
 
Akiamua kuwekwa hata umfungie chumbani atawekwa tu, swala la mtu kucheat linaanzia moyoni, kama hivi mleta mada unavyoshawishika hapo, moyo ukishatamani huwezi kuurudisha nyuma.
Mimi kuna jambo nalishangaa sana , kama ameamua kuliwa nnje kwanini asiachane na mimi tu, akaliwe kwa uhuru kabisa , inakuaje anataka liwa nnje na bado anataka baki na mimi?
 
Njoo unione mm Nina asili ya kisomali kidogo sipendi mademu sababu Sina hela za kuchezea kuhonga ila mademu wananikubali mnoo hata wew ukiniona hutovhomoa njoo DM
 
Ila Gym si wengi hatupawezi maana hizi nguo za Gym wanazovaa wanawake si wengine kwetu mitihani, wanao wazuia wanawake zao wasiende Gym wapo sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…