Usimuazime simu yako mtu usiyemfaham vizuri, Itakugharimu

Ni kutomkubalia tu
 
Waambie simu yako haina salio au ni mbovu unaipeleka kwa fundi au wasmbie ndio unatoka kwa fundi na kwamba fundi amekuonya usiitumie hadi gundi ikauke. Full stop. Mazoea na watu usiowajua sio mazuri.
 
Mda huo huo umetoka kumpigia mtu,, ukisema huna salio atakuelewa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…