Usimuoe au usimtongoze mwanamke unayempenda

Mama ake ilitakiwa amfundishe mwanae sifa za mwanamke Bora ,
 
Mi sina kitu ila nina mwanamke ananipenda sana niliwahi kukamatwa na polisi akapanic akasema nichukueni na mimi kama ni kifo mkatuue wote akapanda na kwenye gari ya polisi ikabidi waanze kumbembeleza ashuke na kumwambia kuwa hawaendi kuniua ila alikomaa hadi tukaenda wote polisi japo baada ya kujua nipo kituo gani aliondoka maana yeye hawakua na shida nae.

Stori yote hiyo hapo sina kitu.
Unazungumziaje ushauri wa mjomba wako na mama yako kulingana na stori yangu?
 
 
Kwaiyo na mama yako pia hana upendo kwa baba ako alimpenda vitu vyake tu… yaani hapo mama yako ni kundi lipi maana na yeye ni mwanamke wa baba ako
 
Dah...Umepata one of a kind mpaka nimepata uwivu maniga
 
Ni nchi gani hiyo polisi walimwambie huyo msichana hawana shida nae ila wana shida na wewe............πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€” ?
 
Zingatia ushauri wa mama yako, pengine alikuwa anatoa ushuhuda wake kwako kwamba ndivyo alivyo!!! Hata hivyo mimi siamini kwamba kila mwanamke ndivyo alivyo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…