Usimuoe au usimtongoze mwanamke unayempenda

Hao wazazi wako, mtu na dadake walikupa osia ambazo ni uniformity, yaani mambo hayo yapo kimfumo.

Labda hata ulivyokuwa ni mtu mzima sasa, haujachunguza na kuona kuwa mambo hayo uliyousiwa ndivyo yalivyo?

Iko hivii, mizani ya mapenzi huwa haibalansi hata siku moja, hauwezi ukampenda sana mwanamke na yeye akawa anakupenda kwa kiwango kile kile, haiwezekani na kinyume chake.

Inaeleweka kuwa, anayempenda sana mwenzake lazima awe ni mtumwa wake wa mapenzi na mahusiano, hainaga ujanja au ubabe hiyo.

Kwa hiyo mjombao alikuusia mambo ya msingi na ya kimfumo.

Ukioa ama kuingia kwenye mahusiano na mwanamke unayemhusudu na kumshobokea saaanaa, hakikisha unazificha hisia zako asizigundue maisha yenu yote, ambapo jambo hilo ni vigumu sana sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano kumficha hisia zako mtu umpendaye.
 
Haaaa, ndugu Ninavyoilinda pesa, kwa akili yangu Yote, na niko makini na Pesa yangu, Wewe cheza na vingine sio pesa maana mm sio muajiriwa kua mwisho wa mwezi napewa mzigo wa pesa, ni mwendo wa kukipambania pesa iingie ndugu yangu.
Hujajibu maswali yangu umekimbilia kusema pesa. Huu ujinga umerithi kwa nani?
 
Kwa hiyo hukutakiwa kuyaamini maneno ya mama yako kwa vile ni mwanamke. Maana yake anaushetani ndani yake pia yeye ni nyoka
 
Ukweli kabisa , mpende akupendae
 
DUNIA inatudanganya sana na kusababisha MAISHA yakae mbali na SISI ๐Ÿ‘‰ haiingii akilini MTU anakushauri usioe mwanamke unae mpenda how? Mantiki yake hapa uone mwanamke unae mchukia?



May be angekushauri hivi ๐Ÿ‘‰ usioe mwanamke ambaye una Mapenzi makubwa juu yake B'se Msingi wa NDOA ukiwa ni Mapenzi mwisho wake huwa ni mchungu kama pakanga



Note ๐Ÿ‘‰ Mapenzi huwa yana expire i.e huwa yanaisha Ndio maana Msingi wa NDOA ukiwa ni mapenzi ni HATARI b'se mapenzi yakiexpire/yakiisha na NDOA inaisha ๐Ÿ˜
 
Ina maana baba ake hampendi mama ake , sijui wanafurahi vipi na usiyempenda
Si ndo hapo ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…wanamuambukiza mtoto machuki yasiyo na sababu. Eti usioe mwanamke unayempenda ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Si ndo hapo ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…wanamuambukiza mtoto machuki yasiyo na sababu. Eti usioe mwanamke unayempenda ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Baba ake kazinguliwa na mama ake basi anajumlisha wanawake wote duniani , maskini mtoto wao kayabeba maneno Yao kama yalivyo . Nimeamini like Father like son.. Ata ukikosa akili za darasan basi omba Mungu asikunyime akili za maisha
 
Baba ake kazinguliwa na mama ake basi anajumlisha wanawake wote duniani , maskini mtoto wao kayabeba maneno Yao kama yalivyo . Nimeamini like Father like son.. Ata ukikosa akili za darasan basi omba Mungu asikunyime akili za maisha
Sasa anaenda kuoa mwanamke asiyempenda na anajisikia fahari ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…inatisha
 
Mjomba ni mama na mama yako nayeye ni mwanamke. Hii imenyooka papendicular
 
Binafsi nimeliona kwangu!!

Nilichukua kinyoka kikiwa kidogo sana Tena kinatia huruma huko kwao,nikakaleta nikakalea Leo limekua joka kubwa hadi linasema eti nililichukua coz lilikua linahela Kwa akaunti!wakati hata senti lilikua halina!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ