Usimuonee huruma Mwanamke

Unajitahidi sana kujieleza ila hueleweki mkuu.
 
Mleta mada hujamuelewa mkuu
 
Hata zamani walipokuwa wanasifa za wanawake hawakuonewa huruma sembuse sasa ambapo wamepoteza sifa ya uanamke Kwa 90%. Sasa hivi ndio hawapaswi kuonewa huruma hata kidogo.
 
Hata zamani walipokuwa wanasifa za wanawake hawakuonewa huruma sembuse sasa ambapo wamepoteza sifa ya uanamke Kwa 90%. Sasa hivi ndio hawapaswi kuonewa huruma hata kidogo.
KUMBEE!![emoji848] NDO MAANA ZAMANI WANAUME NDIO WALIOKUWA WANAKULA VITU VIZURI KWA KUWADANGANYA WANAWAKE WATAPATA MATATIZO KIAFYA.

MFANO;KUTOKULA MAYAI,NYAMA YA KUKU MAPAJA YALIKUWA YA MWANAUME NA SEHEMU NYINGINE ZILIZO NONA ,CHAKULA CHA KUTOSHA KWENYE SAHANI YA PEKEE YAKE(mwanaume) n.k
 
Naam Mkuu
Ni kweli kabisa,ZAMANI wanawake walikuwa hawaonewi huruma na Babu zetuu.Babu zetu waliishi kifalume saana.Mambo mazuri mazuri Yote mwanamke alikuwa anamfanyia mwanaume Lakini Kwa Sasa imegeuka mwanamke ndiye anae taka kufanyiwa mambo mazuri.

Nakazia,kama Sio Mama yako,Usimuonee hurumaa Mwanamke yoyote.
 
Hapa binaadamu asilaumiwe sana na hata ukisema unamlaumu M/Mungu haitokuwa na maana yeyote palee aliposema.. mwanamke ametoka katika ubavu dhaifu wa mwanaume au aliposema kuwa M/Mungu yeye ni BABA yaani asili yake UUME.. hapa wanaume na wanawake hawakuelewa huu mstari kutoka kwenye baadhi ya vitabu vya dini vinavyoaminika.. WANAUME wanajidumisha,jifaharisha na kujiona wao ndio kila kitu.. na WANAWAKE wanajidhalau, kujinyongesha kujiona hawana chochote popote.. hakuna wa kulaumiwa hapa.. ila kuna baadhi ya vichwa vinajiona kama unyayo/nyayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…