Usimuonee huruma Mwanamke

Mkuu nisikilize Mimi, mwanamke hapaswi kuonewa huruma.
Na unapofanya mambo yako ili kumuonea huruma Mwanamke mark my word utakuja kujuta tuu! Utake usitake.

Na sio Kwa mwanamke tuu hata Kwa Binadamu wote.
Acha kumwaga sumu humu mpuuzi wewe, eti hata sio binadamu wote usisaidie..kaka wewe umetumwa nini??? 😡
 
Huna ujualo kwenye semantic ya lugha, nimekuambia nenda kwenye kamusi tafuta neno HURUMA, Kisha linganisha na UPENDO utaona ni mambo mawili tofauti kabisa Ila yanaweza kushikamana Kwa muktadha Fulani.

Hata chuki pia wakati mwingine huambatana na huruma Kama hujui.

Unasema nimeumizwa, hivi unajua hapa kuna watu wananifahamu ndani nje! Au unadhani natumia ID Fake Kama wewe.
Ningekuwa nimeumizwa wapo watu wangekuja kukusapoti hapa, lakini kimsingi ninaandika mambo mengi Kutokana na uhalisia wa mambo na sio upendeleo wowote au athari za kisaikolojia
 
Mkuu nisikilize Mimi, mwanamke hapaswi kuonewa huruma.
Na unapofanya mambo yako ili kumuonea huruma Mwanamke mark my word utakuja kujuta tuu! Utake usitake.

Na sio Kwa mwanamke tuu hata Kwa Binadamu wote.
Mwanamke akiwa na shida anapenda kuonewa huruma japo hiyo haimaanishi kwamba ukimuonea huruma ndio atakuthamini.

Wanawake wana ile mentality kwamba wanastahili kupewa na hivyo kama uliwapa kitu then ulitimiza wajibu na sio lazima uwe wa thamani kwake.
 
Sasa ndio maana Ukiwaambia hawastahili huruma wanarukaruka Kama maharage
 
Mimi sijasema wanawake wote ni wabinafsi, nimesema wengi na hakika wengi wako hivyo. Uzoefu wangu na watu ninaowafahamu unaonesha hivyo. Wapo wachache sana ambao hawana ubinafsi unaodhuru.
 
Ndio sitakuja kukuelewa Mkuu....

Yaani wewe ni mkamilifu sana kwamba mkeo/mpenzi akikusaliti hastahili msamaha wako???????...Umekua Mungu??? naendelea kukusoma Mkuu, wewe ni mtu wa vinyongo sana na visasi, mtu akikukosea kidogo ndio basi hastahili msamaha wako, hivi tungejenga jamii gani kama tusingekuwa tunasameheana??? kwamba huyu ni msaliti nisimsamehe..huyu kadokoa mboga yangu nisimsamehe.....

Huruma ni Neema, upendo ni haki,..nonsense...yaani umuonee mtu huruma ila umuone hana haki...una arrogant attitude ...basi.. ila upendo na huruma ni vitu visivyotengamana kamwe...

Watu wawe wakamilifu kivipi wakati sisi sio saints??? yaani hakuna kuteleza kabisaa???

Kizazi cha sasa, nishakuambia kimetokana na kizazi kilichopita, sio kwamba kizazi kiichopita kilistahili huruma na kizazi cha sasa hakistahili huruma...

Mungu anahubiri Upendo, na anajua inahitaji sana kuwa na nguvu ya ziada kushinda majaribu, na ndio maana tukikosea tunaomba msamaha na anatusamehe, sasa wewe ni nani mpaka usisamehe (Usiwe na huruma?),
 
Mimi sijasema wanawake wote ni wabinafsi, nimesema wengi na hakika wengi wako hivyo. Uzoefu wangu na watu ninaowafahamu unaonesha hivyo. Wapo wachache sana ambao hawana ubinafsi unaodhuru.
Finally umeagree na mimi, sio wanawake wote ni wabinafsi, na kwamba kila mtu ana uzoefu wake ambao umemfanya aamini anavyoamini,ila sio sababu ya kuja na generalization wanawake ni washenzi tusiofaa kupewa huruma.......

Unaposema wanawake ni wachache ambao sio wabinafsi, hio ni subjective experiences yako..haitoshi kuweka conclusion kuwa wanawake wote ni wabinafsi Mkuu...
 
Finally??🤣 Mie na wewe tumeanzia few minutes ago..

Mwanamke akiwa na shida anapenda kuonewa huruma japo hiyo haimaanishi kwamba ukimuonea huruma ndio atakuthamini.

Wanawake wana ile mentality kwamba wanastahili kupewa na hivyo kama uliwapa kitu then ulitimiza wajibu na sio lazima uwe wa thamani kwake.
 
it doesnt matter tumeanza muda gani mkuu...lol

Kwani Mwanaume akiwa na shida hapendi kuonewa huruma?, Kisha ...kuwa na grateful attitude haihusiani na gender hata kidogo mkuu..unless ufafanue...

Mentality, ni nyie mnaotoa kwa wanawake au kwa mtu mwingine yoyote mkitegemea kupata something in return iwe, favour, acceptance,material things..ndio mkiwa dissapointed mnadevelop mentality kuwa wanawake wakipewa vitu wanaona ni wajibu wao kupewa.....
 
Mwanaume hapendi kuonewa huruma. Hiyo ni against men's nature.

Kwahiyo wanataka wawe wanapokea tu bila kurudisha fadhila? Hapo hakutakuwa na mahusiano mazuri katika jamii.
 
Pitia posts zote nilizokujibu, umeniruka ruka tuu...eti hustahili huruma, hio roho ya shetani ikutoke tu uanze ku enjoy life.

Mimi nakula maisha, Shetani kwangu ninamtumia kama viumbe wengine, kuku, Bata, Mbuzi, n.k.

Kwa watu waovu kiumbe Shetani namtumia kuwaadhibu vilivyo, Kwa vile namtumia najua yukoje na anafanyaje kazi.

Ndio maana hitimisho langu nikasema usimuonee huruma Mwanamke
 
Mwanaume hapendi kuonewa huruma. Hiyo ni against men's nature.

Kwahiyo wanataka wawe wanapokea tu bila kurudisha fadhila? Hapo hakutakuwa na mahusiano mazuri katika jamii.

Huyo hajui kitu.

Na katika vitu wanaume hawapendi kusikia mtu akimwambia Nakuonea huruma,

Lakini wanawake Kwa vile wengi wao ni waovu wanapenda huruma, ndio maana wanatumia machozi Yao kuwalegeza wanaume dhaifu na kuwarubuni.

Nikiwasanua Vijana ndio wanakuja kina Rebecca
 
Kwani mtu akisema wanaume ni kichwa cha familia unafikiri hakuna wanaume mikia?

Au unapoambiwa Wanawake ni viumbe dhaifu unafikiri hakuna wanawake Makini wanaowafikia mpaka wanaume?

Hapo tunaangalia ishu ya wingi, sijui kama unaelewa
 
Mwanaume hapendi kuonewa huruma. Hiyo ni against men's nature.

Kwahiyo wanataka wawe wanapokea tu bila kurudisha fadhila? Hapo hakutakuwa na mahusiano mazuri katika jamii.
Si kweli, si nature ya mwanaume au mwanamke kutoonewa huruma, no, it keeps our mind/heads in check..wewe umechoka mkeo akikupa pole,hufarijiki?!

Kutorudisha fadhila kusikufanye uamini, kuwa wanawake ni wabinafsi as kuna wanawake kibao tu wanarudisha fadhila...kisha, sidhani kama ni jukumu lako tena kurudishiwa fadhila unapotoa...wewe toa tu..lol...

Mahusiano mazuri katika jamii, yanajengewa kwa kuoneana huruma, na sio wanawake wasionewe huruma kama mnavyotaka kutuaminisha katika mada hii...
 
Kwani mtu akisema wanaume ni kichwa cha familia unafikiri hakuna wanaume mikia?

Au unapoambiwa Wanawake ni viumbe dhaifu unafikiri hakuna wanawake Makini wanaowafikia mpaka wanaume?

Hapo tunaangalia ishu ya wingi, sijui kama unaelewa

Acha kutumia maandiko ya dini, huijui na usiitumie just to suit your purpose kwenye thread hii...

Wingi ni relative, wingi ndani ya ngapi????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…