Usimuonee huruma Mwanamke

Usimuonee huruma Mwanamke

Hiyo hoja haitoshi, hata wanaume nao wanatumia sabuni na mikono yao. Wanawake wana matatizo yao ambayo kwa kweli wanaume tunapaswa kuishi nao kwa akili laa sivyo tutaangamia, lakini tatizo la umalaya na punyeto ni la jinsia zote, shida ni kale la video kusambaa na si kingine
Nakazia.
 
Kwa kweli. Kuna mwanamke alikua na shida ya ada mtoto wake kafukuzwa shule. Kaja kwangu machozi yanamtoka. Nikamkopesha 1M toka mwezi March. Mpaka leo mwaka unaisha ananipiga tu kalenda. Daaaa wanawake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushatapeliwa.!
 
Haijarishi amejeruhiwa au ndio anaanza, ishi kwa akili na mwanamke siku zote wakati wote.

Hapo ndipo unaweza kuishika akili yake na akakukusikiliza wewe ukimwambia kushoto ni kushoto, kulia ni kulia, hata mipango yake ya pesa, mshahara, mikopo, vicoba atakushirikisha na utajuwa income yake na atakuwa tayari kuchangia financial ndani ya nyumba.

Haya hayaji hivihivi bila kuyatengeneza wewe na kubwa zaidi kusiwepo na ushahidi wowote wa wewe kucheat, ukishindwa kuwa na mmoja, nunuwa wale malaya wanaojiuza mitandaoni au kwenye sehemu za starehe, wale mkiachana kila mtu na zake hawana kukupigia simu wala flriliting msg za usiku.

Ukiwa na mwanamke zaidi ya mmoja wa kugandana naye mwanamke anajuwa ila hakwambii na hapo ndio sahau kuona mchango wake financial kwenye maisha yenu au kukwambia kuna hiki na kile nina pesa pale kuna kiwanja nanunuwa twende ukawe shahidi yangu.

Hawa viumbe wana wivu siyo wa sayari hii, labda kama hajakupenda.

To short the whole story clean urself to her.
Una akili ndogo sana mzee. Sorry najua unaweza kuwa mzazi wangu.!
 
Ambae hajaoa hatakuelewa ila aliyeoa atakuelewa.. Vitabu vitakatifu vinasema tuishi nao kwa kutumia akili. Mwanamke ana uwezo wa kukuteka dakika sifuri. Kwa Wakristu, Adam alidanyanywa na Eva. Tafakari kwa makini. Akishindwa kabisa utapigwa libwata la uhakika uhangaike nalo mpaka ushike adabu.
"...akishindwa kabisa utapigwa limbwata la uhakika...", nimekuelewa hapa. Je, kama mkeo ni mlokole atawezaje kukupiga limbwata?
 
Doh!!cna la kuchangia kwenye ili kwakuwa nimechelewa.
"Ucmuonee huruma mwanamke'Ni maneno niliyokuwa nayackia kila cku ila ckuyajua kabisa umuhim wake.
Ila sasa nimeyajua.Nami naludia kusema tena ucmuonee huruma mwanamke.
Kiukweli hakuna mtu alimwonea mwanamke huruma akatoka huko salama binafsi hata mimi ni mhanga na marafiki zangu na majirani zangu ni wahanga wa jambo hili
 
Mara nyingi kurudi kwake sio kwa ajili ya mapenzi, ila hali ishakua tete..... utafanywa kitega uchumi hadi ujute, mpaka unakuja kustuka ushachelewa na hua wapole kweli kweli anajishusha hasa
Na asilimia kubwa huwa hivyo hawarudi kwa ajili ya mapenzi. Huko walikokuwa unakuta kumewashinda
 
Pole sana mkuu kwa yote hayo yalio watokeeni.
Najaribu kufikiria mwisho wa huyo mama na kizazi chake sijui itakuwaje aisee??
Mimi nikuombe hio paragrafu ya mwisho usiishi ndugu yangu mpendwa, siku zote usilipe ubaya kwa ubaya, ubaya unajilipa wenyewe, iache asili ifanye kazi yake kuwalipieni ndugu yangu poleni mno.
Mbona anamchelewesha sana, au huyo mama yake anatembea na mabodigadi
 
Mwizukulu Mgikuru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwiiiiiiiiiiiiizukuru mgikuru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niite mwizukulu babu😂😂😂
 
Babe naomba msamaha i swear sitorudia Akatoa machozi nusu ndoo ya liter 10 Nikaona isiwe shida acha nimsamehem

Karibu ndani mama,pita bafuni ujioshe uwe msafi Usiku ule alikua nusu ya malaika nakwambia..

Bed time ikafika nikapewa vile vitu moto moto vitu toka Bara la JUPITER nikalala usingizi mzito sana sijapata ona.

Asubuhi kuamka Nakuta nimelala juu ya kitanda tu sioni Tv,sioni Set nzima ya mziki ni kweupeee..

nikahisi labda madam ako anafanya General cleaning so vitu kapeleka kwa sebule..

Basi amka anza papasa nipate ile MOTOROLA angu papasa bed nzima Empty...

Bado akili inaniambia Madam ako nnje anafagia bana simu ako kakuekea charge tu sebleni...

Basi amka jikongoje ingia toilet kwanza sioni hata ndoo kweli nikajua madam angu ako na General Cleaning leo...

Ile naenda seblen sukuma mlango nakuta ile sebule ime turn to exercise area kumekua kweupeee sioni Fan,Sion zulia,sioni pazia,sioni meza,sioni alot of things Ni kama tuko na task ya kuhama...

Wenge ilikata nikarudi chumbani angalia upya ndipo nilipogundua kumbe hadi zile viatu zangu madam kapita nazo...

From zat dey i respect these madam but niko naishi nazo kwa akili yangu 99.9 hata akinipea utamu Mwisho ni kimoja tuuuu

unataka nikupge vitano nilale ili unikombeleze kama Former madam no thank youuu..

These nigggas need no mercy they only deserve RESPECT not Mercy.
Wewe ni taahira
 
Dah....sijawahi kukutana na mwanamke aliyehitaji huruma kutoka kwangu.....wote wanahitaji pesa....lakini ngoja labda sijafika huko bado.....🤭
 
Wanawake asilimia kubwa tamaa mbele
Ndomana sahv asilimia kubwa wanaliwa
Jichoo

Ova
We jamaa nilipoona I'd yako tu nikahusianisha na comment ya jicho na kweli uka comment vile vile daahh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom