Haijarishi amejeruhiwa au ndio anaanza, ishi kwa akili na mwanamke siku zote wakati wote.
Hapo ndipo unaweza kuishika akili yake na akakukusikiliza wewe ukimwambia kushoto ni kushoto, kulia ni kulia, hata mipango yake ya pesa, mshahara, mikopo, vicoba atakushirikisha na utajuwa income yake na atakuwa tayari kuchangia financial ndani ya nyumba.
Haya hayaji hivihivi bila kuyatengeneza wewe na kubwa zaidi kusiwepo na ushahidi wowote wa wewe kucheat, ukishindwa kuwa na mmoja, nunuwa wale malaya wanaojiuza mitandaoni au kwenye sehemu za starehe, wale mkiachana kila mtu na zake hawana kukupigia simu wala flriliting msg za usiku.
Ukiwa na mwanamke zaidi ya mmoja wa kugandana naye mwanamke anajuwa ila hakwambii na hapo ndio sahau kuona mchango wake financial kwenye maisha yenu au kukwambia kuna hiki na kile nina pesa pale kuna kiwanja nanunuwa twende ukawe shahidi yangu.
Hawa viumbe wana wivu siyo wa sayari hii, labda kama hajakupenda.
To short the whole story clean urself to her.