Usimwamini mwanaume ambaye hampendi mke wake

Ila chakushanga wanavuana chupi

Mume wa mtu anamtaka mke wa mtu...

Mke wa mtu anamkataka mume wa mtu...

Mume wa mtu anataka mchuchu mrembo mchepuko...

Mke wa mtu anataka black, tall and handsome gentleman awe kidumu cha kando...

Wakati huo mume na mke halali wakiwa wanakwaruzana kishenzi kwenye ndoa...

Shubamitiiii...
 
Pia usimuamini Mwanaume au mwanamke anaye msema vibaya mzazi mwenzake kwa Kila jambo maana kama amemzalia au mzalisha Mtoto bado akamsema kwa ubaya wewe ni nani akuvumilie 🌚🌚🌚
 
pole kwa kuachwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…