Usimwamini mwanaume ambaye hampendi mke wake

Usimwamini mwanaume ambaye hampendi mke wake

Ila chakushanga wanavuana chupi

Mume wa mtu anamtaka mke wa mtu...

Mke wa mtu anamkataka mume wa mtu...

Mume wa mtu anataka mchuchu mrembo mchepuko...

Mke wa mtu anataka black, tall and handsome gentleman awe kidumu cha kando...

Wakati huo mume na mke halali wakiwa wanakwaruzana kishenzi kwenye ndoa...

Shubamitiiii...
 
Hapana baba mchungaji Nimeandika ninayoyaona katika jamii na si vinginevyo amani itawale juu yako
20241009_101844.jpg

Nimeshakataa kabisa lisijirudie tena
 
Kuna Baadhi ya wanawake wana date na wanaume waliooa
Usimwamini mwanaume ambaye hampendi mke wake
Hajawahi kuku valisha hata hiyo pete na anakuambia anakupenda
Unafikiri anakupenda wew?
Kama aliyemvalisha pete anam cheat wew kwake utakuwa na thaman?? usiwe mjinga
Anakuambia anakupenda na huku ana mke aliye mvisha pete ya thaman?!!
Iko siku nawe atakubwaga
Wanaume wa namna hii
Wanajichukia na ndio maana hawawezi kumpenda mtu yoyote
pole kwa kuachwa
 
Back
Top Bottom