Usioe au kukaa na binti bila kumpiga radar wengi ni mapilot na wachawi sugu

Usioe au kukaa na binti bila kumpiga radar wengi ni mapilot na wachawi sugu

Ibilisi Mjalaana

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,297
Reaction score
16,529
Wasalaam

We ukota binti humjui katokea wapi unaweka ndani au unaendeshwa na nyege unaoa utaumia wengi mapilot wa fighter jet za kichawi, walisha misukule (makuruti katika uchawi) na wengine ni makomandooo wameanza toka wakiwa na miaka 6.

Sasa wewe endelea kuokota okota lakini Jua upo na kwenda kuita wateja kwenye maduka ya wahindi kariokoo na mazenze au kulima mbao mafinga uko maporini maisha Yako yote bila kulipwa hata mia na chakula pumba

Huko hakuna kupumzka ishi kijanja usiamni wanawake kijinga, usione pisi kali ukaona ndo tiket wengine nikama wale madada warusha F35 wa Israel sema wao wanarusha za asili ambazo ni more advanced azionekan na radar yeyote Ile.

MKuu Kaa kijanja usiishi au kuoa mwanamke hata awe mzuri vipi bila kumuangalia Kwa jicho la tatu hasa Kwa wataalamu wa jadi Sio mwamposa
 
#TikiKwaSamia

Kufungua milango ya uwekezaji kwa sekta binafsi kulikofanywa na Serikali kuwaleta na kuvutia zaidi wawekezaji binafsi katika sekta ya bandari kumeleta na inatarajiwa kuleta zaidi matokeo chanya nchini, pamoja na watumiaji wa bandari za Tanzania.
 
Back
Top Bottom