Usioe au kukaa na binti bila kumpiga radar wengi ni mapilot na wachawi sugu

Usioe au kukaa na binti bila kumpiga radar wengi ni mapilot na wachawi sugu

Wasalaam

We ukota binti humjui katokea wapi unaweka ndani au unaendeshwa na nyege unaoa utaumia wengi mapilot wa fighter jet za kichawi, walisha misukule (makuruti katika uchawi) na wengine ni makomandooo wameanza toka wakiwa na miaka 6.

Sasa wewe endelea kuokota okota lakini Jua upo na kwenda kuita wateja kwenye maduka ya wahindi kariokoo na mazenze au kulima mbao mafinga uko maporini maisha Yako yote bila kulipwa hata mia na chakula pumba

Huko hakuna kupumzka ishi kijanja usiamni wanawake kijinga, usione pisi kali ukaona ndo tiket wengine nikama wale madada warusha F35 wa Israel sema wao wanarusha za asili ambazo ni more advanced azionekan na radar yeyote Ile.

MKuu Kaa kijanja usiishi au kuoa mwanamke hata awe mzuri vipi bila kumuangalia Kwa jicho la tatu hasa Kwa wataalamu wa jadi Sio mwamposa
Kwamba wengine ni stealth fighter jet 7Gn capable of carrying supersonic high precision guided missile.
 
Mambo mengine yanachekesha na kuhudhunisha kwa wakati mmoja
 
Moja ya kitu ex-yf kilichowah kumfanya achukie sana ni mara baada ya kuhoji chale set 2 alizo nazo ,what is the history behind. Set Moja katikati ya majiziwa na set 1 kiunoni kwa nyuma kati ya matako na mgongo.
Kweli mmeachana mtunzie madhaifu bwashee
 
Ulitumia jitihada kubwa kumuacha?
Mmhh hapana, kuna kisa changu humu unaweza kusoma kuhusu kuachana kwetu lakin haikua sababu ya mambo hayo. Tuliachana kirahis mnoo.
Uligundua maana ya hizo chale?
Sikuwah jua,na nilifikia hatua ya kuhoja hayo baada ya kuona mara kwa mara ananiletea story za kuota ndoto za kijinga jinga. Mara leo nimeona wachawi dirishani. Mara kesho aseme ananiona mimi naenda kwa waganga. Mada siku nyingine aote sijui watoto wamefanya nini. Mara asema hapa nyumban ameota chini kuna nyoka mkuubwa.
Sasa nikafika time nikachoshwa na haya masuala na hapo sis ni wakristo. Ndio kumuuliza sasa "kwani wewe hizo chale zako ulizotoa wapi ndugu yangu? What is the history behindi?"
 
Wasalaam

We ukota binti humjui katokea wapi unaweka ndani au unaendeshwa na nyege unaoa utaumia wengi mapilot wa fighter jet za kichawi, walisha misukule (makuruti katika uchawi) na wengine ni makomandooo wameanza toka wakiwa na miaka 6.

Sasa wewe endelea kuokota okota lakini Jua upo na kwenda kuita wateja kwenye maduka ya wahindi kariokoo na mazenze au kulima mbao mafinga uko maporini maisha Yako yote bila kulipwa hata mia na chakula pumba

Huko hakuna kupumzka ishi kijanja usiamni wanawake kijinga, usione pisi kali ukaona ndo tiket wengine nikama wale madada warusha F35 wa Israel sema wao wanarusha za asili ambazo ni more advanced azionekan na radar yeyote Ile.

MKuu Kaa kijanja usiishi au kuoa mwanamke hata awe mzuri vipi bila kumuangalia Kwa jicho la tatu hasa Kwa wataalamu wa jadi Sio mwamposa
Kweli kabisa ndg mm ni mhanga wa mambo hayo,nilioa mwanamke msambaa mwnyeji wa lushoto ,ni Wale wavaa majuba huyo mama ni mchawi mno,kama ni mizigo nilibeba ya kutosha,nimemwacha kwa mbinde kweli baada ya kuishi nae miaka 12,
 
Back
Top Bottom