Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Huku wapi tena mkuu 🤣🤣🤣🤣Mfano mzuri hapa ni huyu Binti wa zamani
Mimi na mambo ya uchawi wapi na wapi? we nitag kwenye mapenzi na kudinyana, hayo ndiyo mambo yangu 😅😅
Huku wapi tena mkuu 🤣🤣🤣🤣Mfano mzuri hapa ni huyu Binti wa zamani
Sa itakuwajeUnatusemesha semesha uchawi namba za mganga wako hautaki kutupa.....sa ndo nini
Kwakweli tunateseka mtaalamuSa itakuwaje
Ubaya ubwela 🤪🤪Kwakweli tunateseka mtaalamu
Location tafadhaliKupiga ramli ni elf 2-3 , japo ni dhambi kubwa mno waganga hawadanganyi kwenye ramli ukitafuta watatu au wanne tofauti ukipata majibu utajua eundelee au uachane nae
Anaitwa nan nkusaidieLocation tafadhali
Kuna mmoja Niko nae lkn simuelewi
Kwani wanapolelewa mabinti hakuna vijana wakiume hapo? Au wenyewe wanakuwa misukule tu ya wazazi wao ila uchawi wanapewa wasichana peke Yao?Wasalaam
We ukota binti humjui katokea wapi unaweka ndani au unaendeshwa na nyege unaoa utaumia wengi mapilot wa fighter jet za kichawi, walisha misukule (makuruti katika uchawi) na wengine ni makomandooo wameanza toka wakiwa na miaka 6.
Sasa wewe endelea kuokota okota lakini Jua upo na kwenda kuita wateja kwenye maduka ya wahindi kariokoo na mazenze au kulima mbao mafinga uko maporini maisha Yako yote bila kulipwa hata mia na chakula pumba
Huko hakuna kupumzka ishi kijanja usiamni wanawake kijinga, usione pisi kali ukaona ndo tiket wengine nikama wale madada warusha F35 wa Israel sema wao wanarusha za asili ambazo ni more advanced azionekan na radar yeyote Ile.
MKuu Kaa kijanja usiishi au kuoa mwanamke hata awe mzuri vipi bila kumuangalia Kwa jicho la tatu hasa Kwa wataalamu wa jadi Sio mwamposa
Hata mimiWanawake ni wachawi sana
Ngoja mnyooshwe maana hamtosheki na mwanamke mmoja 😃😃😃 unakuwa na mke mchawi, halafu michepuko 2 yote michawi ha ha ha utaendeshwa kama gari la taka 😃😃Ukimpata mwenye Vibuyu atakunyoosha sana
Acha kulewa kwanza na uanze kuomba mwenyewe kwanzaMaombi yenu ni muhimu sana kwangu wakuu
Na nyama za watu umelishwa 😳😂😂😂😂Doh!!! Hivo vitu ni vigeni kwangu labda nshadeti hata na mchawi bila kujua.