LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Nsamehe mkuu πWewe na hii kusikitika kwako mda si mrefu nakulamba ban
Kwamba wengine ni stealth fighter jet 7Gn capable of carrying supersonic high precision guided missile.Wasalaam
We ukota binti humjui katokea wapi unaweka ndani au unaendeshwa na nyege unaoa utaumia wengi mapilot wa fighter jet za kichawi, walisha misukule (makuruti katika uchawi) na wengine ni makomandooo wameanza toka wakiwa na miaka 6.
Sasa wewe endelea kuokota okota lakini Jua upo na kwenda kuita wateja kwenye maduka ya wahindi kariokoo na mazenze au kulima mbao mafinga uko maporini maisha Yako yote bila kulipwa hata mia na chakula pumba
Huko hakuna kupumzka ishi kijanja usiamni wanawake kijinga, usione pisi kali ukaona ndo tiket wengine nikama wale madada warusha F35 wa Israel sema wao wanarusha za asili ambazo ni more advanced azionekan na radar yeyote Ile.
MKuu Kaa kijanja usiishi au kuoa mwanamke hata awe mzuri vipi bila kumuangalia Kwa jicho la tatu hasa Kwa wataalamu wa jadi Sio mwamposa
Ulitumia jitihada kubwa kumuacha?Moja ya kitu ex-yf kilichowah kumfanya achukie sana ni mara baada ya kuhoji chale set 2 alizo nazo ,what is the history behind. Set Moja katikati ya majiziwa na set 1 kiunoni kwa nyuma kati ya matako na mgongo.
Kweli mmeachana mtunzie madhaifu bwasheeMoja ya kitu ex-yf kilichowah kumfanya achukie sana ni mara baada ya kuhoji chale set 2 alizo nazo ,what is the history behind. Set Moja katikati ya majiziwa na set 1 kiunoni kwa nyuma kati ya matako na mgongo.
Hii ni ya kitambo kabisaaa hata hatuwaz kuachana.Kweli mmeachana mtunzie madhaifu bwashee
weeeee basi sawaHii ni ya kitambo kabisaaa hata hatuwaz kuachana.
Sijawahig kumuabisha yule kiumbe. I protected her even the moment anataka kunifunga jelaweeeee basi sawa
ni njia nzuri ya kumuacha mtu salama na maswali piaSijawahig kumuabisha yule kiumbe. I protected her even the moment anataka kunifunga jela
Yule hana anachojiuliza i believe that!πni njia nzuri ya kumuacha mtu salama na maswali pia
Mmhh hapana, kuna kisa changu humu unaweza kusoma kuhusu kuachana kwetu lakin haikua sababu ya mambo hayo. Tuliachana kirahis mnoo.Ulitumia jitihada kubwa kumuacha?
Sikuwah jua,na nilifikia hatua ya kuhoja hayo baada ya kuona mara kwa mara ananiletea story za kuota ndoto za kijinga jinga. Mara leo nimeona wachawi dirishani. Mara kesho aseme ananiona mimi naenda kwa waganga. Mada siku nyingine aote sijui watoto wamefanya nini. Mara asema hapa nyumban ameota chini kuna nyoka mkuubwa.Uligundua maana ya hizo chale?
Hahaha π ulichomfanya unajua mwenyeweYule hana anachojiuliza i believe that!π
Kweli kabisa ndg mm ni mhanga wa mambo hayo,nilioa mwanamke msambaa mwnyeji wa lushoto ,ni Wale wavaa majuba huyo mama ni mchawi mno,kama ni mizigo nilibeba ya kutosha,nimemwacha kwa mbinde kweli baada ya kuishi nae miaka 12,Wasalaam