Usioe au kukaa na binti bila kumpiga radar wengi ni mapilot na wachawi sugu

Demu unakuta kajaa chale mwili mzima kama mchawi hata hamu ya kugegeda inaisha😁
 
Kwani wanapolelewa mabinti hakuna vijana wakiume hapo? Au wenyewe wanakuwa misukule tu ya wazazi wao ila uchawi wanapewa wasichana peke Yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…