Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Last born wanacharacter ambayo inatakiwa ujue namna ya kumtreat, hivi vidudu ukivitreat vizuri huwa vinakuwa vitamu balaa.Ongezea na last borns, ni wasumbufu sana hawa watu kwenye mahusiano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Last born wanacharacter ambayo inatakiwa ujue namna ya kumtreat, hivi vidudu ukivitreat vizuri huwa vinakuwa vitamu balaa.Ongezea na last borns, ni wasumbufu sana hawa watu kwenye mahusiano.
it's said, ikitokea issue. wana solve kwa kusema sina baba au mamaAcha kujipa victim mentality sasa hapo ndipo mnapoharibu. Ukishaanza kusema mimi ni victim unaiambia akili yako kuwa hata ukikosea ni matokeo ya kuwa victim. Don't be a victim be responsible.
hadi leo upo nae he ain't that badsi ndo hapo, mi wangu mzinzi anakula kila housegirl anaekuja, wake za majirani anapita nao, ana gubu selfish mpaka basi, tunaishi kama majirani isiwe kesi ebooooo.
Yani iwe last resort, sio ndo first choiceKwa hili wimbi la "zaa ntalea" ma mkwe hauchomoki
Naona umeweka hisia eneo ambalo unatakiwa kutumia akili. A perfect illustration of what mleta mada alikuwa anaongelea.Zote ni siasa hizo hizo mjomba. Sababu za mtu kulelewa na mzazi mmoja au bila mzazi ni nyingi sana ndugu.
Acheni unyanyapaa wa kijinga!
Achana nae huyu, asikutoe kwenye reli.The truth should be out . That's why kuna research. We prove facts. Sio kuongea siasa na kujibu vitu kutumia emotions.
Wazazi wanaweza kuwapo physically ila spiritually hawapo.Huyu niliyenae kalelewa familia yenye wazazi wote ila mbona anatabia hizo
@Sera park njoo usome hii comment, ndicho nilichokuwa nakuelezea hapo juu. Baba anaweza kuwapo kwenye nyumba ila haplay role yake kama baba sababu spiritually watoto wanamuona mama ni strong kuliko baba of which is devil's work.Haya mambo vijana wa sikuhiz zingatieni sana pia OGOPA NA USIJARIBU KUOA MWANAMKE AMBAYE MAMA YAKE NDIYE ALIKUWA ANA SAUTI KWA MUME WAKE, Wanawake waliotoka ktk familia ambazo mama zao walikua Wana saut kwasabab ya kipato kikubwa au kiburi au jeuri. Hakika wanakuwa wamerithi hizo tabia kwa kujua au kutojua na kamwe hawawez kuziacha, kwahio na wao wakiolewa watafanya upumbav wa mama zao...
Wakuu mnapiga kwenye mshono.Yani iwe last resort, sio ndo first choice
Ila nitampa usia ajipange, nitamfundisha roho ya kibandidu.....
Honestly hawa watu ukiwa mlaini laini wanaweza kukupa uchizi, huwa hawajali lolote, hawajali kuachana....sasa wakikukuta unatoka familia ya wazazi wawili, hujawahi kuona wazazi wanaachana, unaogopa, Yani watakupelekesha wakutie wazimu.
Wewe unaongea vitu gani wewe? [emoji848] Mbona mleta mada amenyooka na anachokiongelea sio kitu cha kuambiwa kwa mdomo tu, macho yako ukiyafumbua utaona hapo vema kuwa ukweli upo wazi wazi.Mimi ninakudharau. Kwenye shule sina haja ya kushindana nawe kwasababu sitaki kujua umesoma hadi wapi na wala sitaki ujue nimesoma kiasi gani. Cha muhimu wote tumesoma. Kama ni exposure pia ninayo. Passport yangu ina mihuri ya kutosha. Narudia tena kwamba sio kila atakachosema Mzungu ni sahihi. Amnesty International wameshafanya research na kufafanua kwamba LGBTQ wanatakiwa wapewe haki zao na kwa mujibu wa maelezo yao ni kuwa Homosexuality sio tatizo. Je, tukubaliane nao kwasababu wamefanya research? WHO walivyosema Africa itakuwa na maiti hadi kwenye barabara mitaani wakati wa Corona walikuwa sahihi? Tumia akili ya kuzaliwa badala ya kuwa mtumwa wa hizo research.
@MamaSamia2025 huyu ni mojawapo wa wasomaji unaweza kuona anakiri kuona matokeo ya anachokiongelea mleta uzi. Why sasa unambishia.I wish, I could knew it before!! This is a nacked truth, I experienced it
Nikuelekeze jambo?Na vipi kuhusu ambao hawajalelewa na wazazi wote?
Hii mada imekaa kibaguzi kuliko kiuelimishaji.
Not always NDO MAANA UMESEMA MORE LIKELY1. They are selfish.
2. They are more likely to have a side family, child, multiple family or end the marriage for stupid reasons.
3. They are emotional damaged. They don't care of other people feelings. Any thing is the right way as long as wapo happy hata for a short time.
4. They always end up single parent for some reasons, research shows they are 3 times likely to have single parent family.
5. They always do some stupid things, kuna vitu watafanya you will wonder why. Mostly women , this you will notice.
6. Absense of there parents. Its always an excuse.
7. If your born in a complete family avoid these people as you can. Matatizo yao ndo your down fall. And they will leave you, with them.
8. They deserve one another. Born from a single parent vs born from a single parent. They can live together. Don't mix up.
9. More from comments, before you say NO. Use Google and i will add research links with time.
Avoid avoid avoid. Both gender utajuta 🙏
Kataa kwa facts. With research to back up your reasons. Sio kelele
PAPERS PUBLISHED BELOW
Link 1
https://onlinelibrary.wiley.com/doi/abs/10.1111/j.1365-2524.2008.00781.x
Link 2
Mental health
![]()
Mental health in young mothers, single mothers and their children - BMC Psychiatry
Background Parenthood is a life transition that can be especially demanding for vulnerable individuals. Young maternal age and maternal single status have been reported to increase the risk for adverse outcomes for both mother and child. The aim of this study was to investigate the effect of...link.springer.com
Link 3
Kama ungekuwa na hekima au walau busara then ungemshukuru mleta uzi kwa kukupa revelation juu ya sura ya Maisha ambayo pengine wengi huwa wanaiona baada ya kuiingia.Hii ni thread ya kibaguzi sana, hujui ulichokisema ndugu Danielmwasi. Hakuna aliyechagua kua katika familia ya namna hio. Hio ni sawa na kumsimanga kilema bro. Tema mate chini.
Huku Duniani hakuna aliyekamilika mkuu, na kila mtu ana njia aliyopangiwa na M/Mungu kuipitia. Kuna waliokuta familia zikiwa na wazazi wote, kuna waliokuta mzazi mmoja, kuna ambao hawakukuta mzazi hata mmoja na kuna ambao hawakukuta hata ndugu wa kuwalea na ndio maana kuna vituo vya kulelea Yatima na charitable organizations zinazochukua majukumu ya kulea, kusomesha na kuongoza watoto ambao kwa bahati mbaya hawana wazazi ama walezi wa kuwalea.
Kwahio hawa wenye walau mzazi mmoja wapo katika nafsi nzuri mara mia kuliko wengi ambao labda hawana wazazi wote kabisa au wote wazazi wala walezi.
Sisi sote tu watu wa Mungu na tunakamilishana katika mapungufu yetu mbali mbali na sio kubaguana.
Mbarikiwe [emoji120]
I agree.I understand this. But facts should be said. We can't hide the truth because of emotional wellness and some one history. We Need to change and be better parents. Amna excuse. Hizi ni research za watu through the years.
TrueKuna siku nilisoma mahali hoja sawa na hii, nikajikuta najisemea.... "lakini kweli..., ila hapana"....
Mtoa hoja hiyo alisema hivi,. "Mtoto wa kiume aliyelelewa na familia ambayo Mama ndiye mpambanaji, akamuoa mtoto wa kike aliyelelewa na familia ambayo baba ndiye mpambanaji, Ndoa hiyo Huwa haidumu Kwa sababu Kila mmoja anajua kwamba mwenzake ndiye anaweza au ana wajibu wa kuilea familia!
Na mtoto wa kiume aliyelelewa na familia ambayo baba ndiye mwenye kauli ya mwisho ya maamuzi (kama Kwa wale wenzetu wa nanilii kule) akamuoa mtoto wa kike aliyelelewa na familia ambayo Mama ndiye mwenye kauli ya mwisho ya maamuzi, hapo lazima cheche zitokee kwa sababu Kila mmoja anajua kwamba anatakiwa kusikilizwa.
My take; KWA SASA KUZUNGUMZIA CHANGAMOTO ZA SINGLE PARENTING (HASA HASA SINGLE MOTHERS) Zinaibua hisia nzito HASA Kwa waathirika Kwa sababu wanajikuta wanalaumiwa Kwa makosa yasiyo yao.
Ni ngumu kunielewa ukilitazama hili swala kwa jicho la kujihami ila ukitoka huko mtaani hautatumia nguvu nyingi kuona ninachokwambia. Okay nitakupa mwanga kidogo.Sina Hakika ila nakupinga nasema HAPANA kama kunamtu anaroho hiyo ya kutaka kumuona mwanaye anateseka kama yeye alivyo teseka Kwa kulelewa na mzazi mmoja basi huyo anaroho mbaya tu ambayo anaweza kua nayo yoyote yule
Nimesoma na mtu ambaye anawazazi wote wawili lakini anataka mtoto wake aje asome shule kama tulivyo soma sisi ambayo ugali ni kama mbichi,maharage hayatii hamasa ya kula kisa anadahi kuwa mwanaye ataona uchungu WA kusoma mawazo ambayo ni tofauti kabisa na mimi ninaye waza kama nikiwa na mtoto nitafute pesa Ili nimuhudumie tene nimpe Mali inayoonekena ya kuanzia maisha sio elimu tu kama wasemavyo. Maana ninaijua dhiki anayopitia mama na mtoto PASIPO baba tena kama mama hayupo vizuri kiuchumi
Sasa mtu kama Mimi ninaijua kabisa dhiki ya kulelewa na mama peke,na kosa kitu Fulani sababu mama ameshindwa kunitimizia na muda mwingine na fikiria kwani kati ya Mimi na wao nani alimtaka mwenzie alafu nije ni ruhusu mtoto alelewe na mzazi mmoja tena mama HAPANA labda nitasemwa Kwa kutojua kuishi kikamilifu kama baba Kwa kuwa sijawahi kumuona baba yangu kabisa akinilee Kwa namna Fulani ambyo ndio mtindo sahii Kwa baba kuishi na mwanae
Unajua Huwa wanafikiria Nini tena akijua umemkimbia Kwasababu ya huoga wako tu mwenyewe na ulimtaka mwenyewe
HAPANA Mimi siwezi Kuna mda unahitaji tu ushairi kutoka Kwa baba au mama atakama Hana ele lakini unakosa huo ushairi,unakosa ada unawaza labda angekuwa baba au mama wangesaidiana ningepata ada lakini wapi mmoja hayupo
Sasa mtu unaijua hiyo DHIKI alafu unataka kufanya Kwa makusudi Kwa mtoto ambaye unamtaka wewe mwenyewe na Wala siyo yeye aliye kutaka HIYO NI ROHO MBAYA TU AMBAYO YEYOTE ANAWEZA KUWA NAYO
Maana wapo waliolelewa na mzazi mmoja hawana roho hiyo na wapo walio lelewa na wazazi wote wapo na roho hiyo
Kuna watu sijui ni ubishi au vichwa vizito kuelewa ila mbona haya mambo yanaeleweka na kama hapa umetumia lugha nyepesi kabisa ila bado watakuja kukubishia.Mkuu ulichoongea kina ukweli kiasi Fulani,na wapo kweli watu wwliolelewa na mzazi mmoja na wapo kwenye ndoa zao ila ni wachache.
Tafsiri yangu hapa Nini Nini,Huwa tukiwa watoto tunajifunzia kupitia kwa wazazi wetu,tukiona wanapendana ndicho tunachojifunza hicho,lkn let say mfano mwanaume aliyelelewa na mama pekee,hawezi kuona thamani ya mke kwa sababu hakumuona baba akiwa na mama yake wanafurahi,hivyo yy ni rahisi sana kumtelekeza mke hata akiwa na watoto na kujisemea kuwa mbona hata mimi nilikuwa na mama tu na nimekuwa.
Dhana hii humjengea kutomthamini mwanamke kwa sababu naye hakuona mama akiishi na baba hivyo hata yy haoni umuhimu wa kuishi na mke wake na watoto,atakachofanya tena kwa kujiskia ni kuwatunza tu ili wasimsahau.
Tuwapumzishe ili wapate nguvu ya kuendelea kuleta maafa, hapana hawa ni mchaka mchaka tena ule wa puta puta hadi watapike nyongo.Hii yote ni mashambulizi kwa single mothers tu..tuwapumzishe hata kidogo jamani!